johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wataje hao wachungaji wanne!Kwa muda wa wiki 2 au 3 kwa dar pekee yake tumepoteza wachungajinkaribia 4 wenye uzoefu.
Najiuliza kuna nini?
Pamoja na hilo linakuja swala la kupoteza wabunge na viongozi wakubwa.
Siamini kama ni corona.
Wasiwasi umetanda , hapa Geita kuna mzee wa kanisa kafa ghafla, hata kanisani sasa wanaenda watu wachache sana kibishi.
Jamani Imani zinajaribiwa.
Sometimes nashika kichwa tuu, sijui wapi kwa kukimbilia.
Sent using Jamii Forums mobile app