#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Kwa muda wa wiki 2 au 3 kwa dar pekee yake tumepoteza wachungajinkaribia 4 wenye uzoefu.


Najiuliza kuna nini?

Pamoja na hilo linakuja swala la kupoteza wabunge na viongozi wakubwa.

Siamini kama ni corona.

Wasiwasi umetanda , hapa Geita kuna mzee wa kanisa kafa ghafla, hata kanisani sasa wanaenda watu wachache sana kibishi.

Jamani Imani zinajaribiwa.

Sometimes nashika kichwa tuu, sijui wapi kwa kukimbilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataje hao wachungaji wanne!
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwamba kwanini sio masheikh

I'm on that good kush and alcohol

Corona anakufa mtu yeyote, kwetu sisi waislam tunachukua tahadhali za kisheria na za kidini, na lau mtu akipata corona hali ya kuwa muumini na akasubiri yanamsibu na akafa katika huo ungonjwa basi Allah atamlipa malipo maradufu. Kwa hiyo hata sheikh aweza kufa kwa Corona maana haichugui mwovu wala mwema
 
Ge
Kwa muda wa wiki 2 au 3 kwa dar pekee yake tumepoteza wachungajinkaribia 4 wenye uzoefu.


Najiuliza kuna nini?

Pamoja na hilo linakuja swala la kupoteza wabunge na viongozi wakubwa.

Siamini kama ni corona.

Wasiwasi umetanda , hapa Geita kuna mzee wa kanisa kafa ghafla, hata kanisani sasa wanaenda watu wachache sana kibishi.

Jamani Imani zinajaribiwa.

Sometimes nashika kichwa tuu, sijui wapi kwa kukimbilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Geita mchungaji wa kanisa gani hilo?
 
Huyu mzee amesimama kidete katika Taifa lake, anatoa maelekezo yenye mantiki na yasiyo na mkanganyiko. Anaongea Kama mzazi Kama mlezi na Kama mtu anayetambua wazi kuwa kuishi nimara moja tu na Vita ya kupigania uhai inapewa kipaumbele kwani ukifa umeondoka.

Natamani kuwaona viongozi wa Tanzania hasa wenye dhamana wakisimama na kuelekeza mikakati waliyonayo
Sisi Tanzania tuko vizuri zaidi...
 
Nyie watu ni waajabu sana,mseven hakuna alichokifanya ni blah blah tu na kutafuta namna ya kula pesa za umma kwa mgongo wa lockdown

Hivi kweli inaingia akilini kuwa umejifungia ukiwa huna hata kesi moja ya maambukizi dhidi ya korona, harafu unakuja kujifungua ikiwa na kesi 80+ huku mabukizi yakiwa 8+ kwa siku harafu unasema amefaulu

Kiufupi amefeli pakubwa sana na kupelekea kuathiri uchumi wake unao chechemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu ni waajabu sana,mseven hakuna alichokifanya ni blah blah tu na kutafuta namna ya kula pesa za umma kwa mgongo wa lockdown...
Waajabu= Wa ajabu.
Mseven= Museveni.
Harafu= Halafu.
Kiufupi= Kwa kifupi.

Watu kama nyie mnafanya walimu tudharaulike.
 
Leo waziri wa uwekezaji mh Kairuki amenishangaza kidogo, ameingia bungeni na chupa kubwa kama chupa ya chai.

Kisha akaanza kuminya na kujipaka wakati wabunge wakiendelea kuchangia hotuba ya bajeti, kwa namna alivyokuwa anajipaka mara kwa mara inawezekana ile ni sanitizer au dawa ya mbu.

Hongera waziri kwa kuchukua tahadhari zote.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tafsiri halisi ya "UZALENDO".[emoji848][emoji2955]
IMG-20200503-WA0007.jpeg
 
Wengine wako na vipodozi we wafikiri wanasanitize..
 
Leo waziri wa uwekezaji mh Kairuki amenishangaza kidogo, ameingia bungeni na chupa kubwa kama chupa ya chai...
Makaratasi Yale wanayobadilishana mule Bungeni ni hatari sana kwenye kusambaza Covid -19.so kwa mtu anayejijari kila baada ya kushika kitu toka kwa mtu mwingine hata Kama ni pesa ni muhimu kunawa mikono kwa sabuni au kutumia sanitizer
 
Back
Top Bottom