Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kua na msimamo bro, usikubali kuyumbishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee jitu tena!Duh, umetuangusha sana wanaume wenzio. Kama hivi ndo jinsi unasolve mambo yako nyumbani kaa chini tafakari kwa upya. Mi wakwangu alikuwa hivyo hivyo niliamua kutumia demikrasia tu ya kuwa namsimulia kila siku update za corona, kisha nikanunua ndoo ya maji na sabuni nikaweka mlangoni kila mgeni akiingia ananawa, sa hivi ameelewa atoki bila barakoa popote aendapo, sasa we mwenzangu vipi kumuita mkeo JITU ?
[emoji3]Mkuu unesema vizuri sana, lakini ulipokosea ni kumwita mkeo "jitu" hapo mkuu umekosea sana! Mengine nakubaliana na wewe, wake zetu hawa ni changamoto sana yaani hata umweleshe vipi bado hakuelewi kabisa! Hapa kwangu yaani kama COVID-19 haipo kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maneno si ya kuyapa nafasi ilianza hivyo hivyo 'waafrika hawafi kwa corona' kilichofata watu walizikwa kama ndezi usiku.Na wanaume ndio mnaondoka sana na korona, mwelimishe, unless anatamani ujane
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wazee wa muhimu/maana, acha waondoke kama wanaondoka. Kwangu mimi wakifa sitajuta maana hawana lolote la maana. Yanayoendelea hapa TZ bila wao kuyakemea/kuyasemea, kwangu mimi hawana maana kabisa! Kauli zao zingelileta tafakuri kwa huyu anayoyafanya! Wamenyamaza as if hakuna mabaya ya kutisha yanayoendelea !wazee wote muhimu wa taifa hili na kuwalund
Nilikuwa sijui kumbe?Corona ishaisha Tanzania.
Nilikuwa sijui kumbe?
Mkuu ukimya wao hauondoi umuhimu wao.akuna wazee wa muhimu/maana, acha waondoke kama wanaondoka. Kwangu mimi wakifa sitajuta maana hawana lolote la maana. Yanayoendelea hapa TZ bila wao kuyakemea/kuyasemea,
Sizani Kama pindi unaandika hii comment Kama ulikua unashirikisha akili yako.Mzee mwinyi ni mdau wa riadha kila asubuhi, mzee Mkapa ni nyungu, mzee KIKWETE mdau wa disco, JPM ni push + malimau na Tangawizi.....unategemea wapate tatizo la upumuaji wakati wanapanua mapafu yao kila siku?
Fanya mazoezi, piga nyungu haya ni mafua usiingie kwenye mtego wa mabeberu.
Basi kwangu mimi hapana! Jibu la ukimya haliwasaidii jamii inayoteseka.Mkuu ukimya wao hauondoi umuhimu wao.
Huenda wanafuata mkondo wa maji.
Ukimya ni jibu pia.