#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Duh, umetuangusha sana wanaume wenzio. Kama hivi ndo jinsi unasolve mambo yako nyumbani kaa chini tafakari kwa upya. Mi wakwangu alikuwa hivyo hivyo niliamua kutumia demikrasia tu ya kuwa namsimulia kila siku update za corona, kisha nikanunua ndoo ya maji na sabuni nikaweka mlangoni kila mgeni akiingia ananawa, sa hivi ameelewa atoki bila barakoa popote aendapo, sasa we mwenzangu vipi kumuita mkeo JITU ?
Aisee jitu tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nampongeza sana mhariri gazeti uhuru 26 May 2020 kwa kuweka picha ya shangwe coco beach Dsm.
Ukweli kama taifa na dunia hatuna uwezo kuthibiti corona.Wanasayansi wanashauri pia mikusanyiko bila mask inasaidia kubadilishana virus na bacteria hivyo kukuza kinga ya mwili.

Hongera JPM,Makonda na Polepole kwa neno lako " Corona achague ama kutoka nje ya mipaka yetu ama kuishi nasi kwa heshima kama magonjwa mengine.."
Tutaimudu corona kwa umadhubuti wa kinga ya mwili,tuache uoga tuendelee kumuomba Mungu tutaimudu corona.
Screenshot_20200526-223745.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili jambo umekurupuka vibaya sana. Tunakotaka kuelekea tutafika tu siku moja. Corona inatisha, ndiyo na Tanzania ipo tena sana. Dar ina maambukizi mengi ndiyo, tumeamua kuyaongeza kwa kasi baada ya kuona malengo yetu yana sua sua (?)
IMG_20200527_155006.jpg
 
hongera muheshimiwa waziri jafo kwa uwamuzi wa kuwaondolea hadha ya usafiri wakazi wa dsm
 
Wadau, nimekuwa ninafuatilia kwenye runinga shughuli ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa ofisi za ikulu Dodoma, kuna jambo limenishitua na kunipa wasiwasi kama si hofu.

Serikali kupitia wizara ya afya imekuwa ikihamasisha wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya corona, na kutuambia tuwakinge wazee ikiwa ni pamoja na kuepuka kuwa nao karibu au kuwaepusha na msongamano utakaohatarisha maisha yao kwa maana ya maambukizi.

Ajabu pale Dodoma serikali imekusanya wazee wote muhimu wa taifa hili na kuwalundika sehemu moja tena bila tahadhari yoyote wala kinga ya ugonjwa huu.

Swali, ni kwamba hii wizara inatudanganya au wameamua kuwateketeza hao wazee?

Wadau maoni yenu tafadhali.
 
wazee wote muhimu wa taifa hili na kuwalund
Hakuna wazee wa muhimu/maana, acha waondoke kama wanaondoka. Kwangu mimi wakifa sitajuta maana hawana lolote la maana. Yanayoendelea hapa TZ bila wao kuyakemea/kuyasemea, kwangu mimi hawana maana kabisa! Kauli zao zingelileta tafakuri kwa huyu anayoyafanya! Wamenyamaza as if hakuna mabaya ya kutisha yanayoendelea !

Back to the context of the thread. Wanafanya mchezo na corona. Waache wamfurahishe mwenzao, soma hii:
According to the CDC, older people are more susceptible to serious symptoms, as are people with heart disease, lung disease, or diabetes.

Haya yamewahi kutokea huko nyuma, soma hii: wacha wafanye mchezo:
"The so-called Black Death, or pandemic of the Middle Ages, began in China and made its way to Europe, causing the death of 60% of the entire population," by some estimates, Dr. Stöppler writes.
 
Mzee mwinyi ni mdau wa riadha kila asubuhi, mzee Mkapa ni nyungu, mzee KIKWETE mdau wa disco, JPM ni push + malimau na Tangawizi.....unategemea wapate tatizo la upumuaji wakati wanapanua mapafu yao kila siku?
Fanya mazoezi, piga nyungu haya ni mafua usiingie kwenye mtego wa mabeberu.
 
Kitu ambacho watu wengi hawajajua ni kwamba huwezi kamwe kudhibiti corona kisayansi kwa sababu ugonjwa huo hauna kinga wala tiba (dawa). Ndio maana tumeamua kuudhibiti ki-IMANI.

Tulimuomba Mungu kama Taifa, na kama mtu mmojammoja. Ninachojua mimi, Mungu huwa anajibu maombi ya wanadamu na Alishatujibu. Mungu ni Baba yetu wa mbinguni, Atupendaye sana! Tunapomlilia huwa anakiona kilio chetu. Ni mwingi wa rehema na fadhili zake ni za milele. Upendo wake kwetu hauna kifani.


JESUS IS LORD!!!!

Nilikuwa sijui kumbe?
 
akuna wazee wa muhimu/maana, acha waondoke kama wanaondoka. Kwangu mimi wakifa sitajuta maana hawana lolote la maana. Yanayoendelea hapa TZ bila wao kuyakemea/kuyasemea,
Mkuu ukimya wao hauondoi umuhimu wao.
Huenda wanafuata mkondo wa maji.
Ukimya ni jibu pia.
 
Mzee mwinyi ni mdau wa riadha kila asubuhi, mzee Mkapa ni nyungu, mzee KIKWETE mdau wa disco, JPM ni push + malimau na Tangawizi.....unategemea wapate tatizo la upumuaji wakati wanapanua mapafu yao kila siku?
Fanya mazoezi, piga nyungu haya ni mafua usiingie kwenye mtego wa mabeberu.
Sizani Kama pindi unaandika hii comment Kama ulikua unashirikisha akili yako.
 
Back
Top Bottom