PostGE2025 Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atamani kurudi shule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimemtizama huyu binti,Binti mwenye umri mdogo na ndoto nyingi.Nikajiuliza swali Jepesi?Je ni kwa nini anayapitia haya?Ni kwa sababu gani ndoto zake zimezimwa?Kuna ambao najua tunafikiria tu kwamba labda tuseme Tatizo ni waliofyatua risasi,najua pia kuna wanaofikiri kwamba tatizo ni waliofanya maadamano na fujoa najua pia kuna ambao hata hawaelewi kipi ni sahihi kufikiri kwa wakati huu.

Ila Nakumbuka baada ya vurugu zile na yale niliyoshuhudia kabla wakati na baada ya vurugu zile nilijikuta nikisema " Watu wahuni,wakorofi wafanya fujo na wenye nia OVU waligeuza maandamano yale kama njia ya kutimiza visasi vyao na kutenda uovu wao(Na hii ni kwa pande zote) Matokeo ya fujo hizo ni kwamba MADAI halali ya wale waliotaka kuyadai yalfunikwa na kuzibwa na uovu uliofanyika"

Niseme tu kwamba kama TAIFA tulikosea SANA.Tulikosea sana kutumia SILAHA zetu dhidi ya Watu wetu.Tulikosea sana kuwasikliza wanaojiita wanaharakati na kuamua kufanya FUJO zilizoplekea sintofahamu na maumivu kwa wengi wetu.Tusifikiri hapa wa kuwajibika labda ni watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama tu(Hawa walikuwa na wajibu wa kufanya kwa mujibu wa majukumu yao)Tunaweza tukabeza na kulaumu ila kwa wanaopenda Wafahamu ni nini huwa kinatokea kwenye nchi pale vyombo vya ulinzi na usalama vinapokengeuka na kuasi dhidi ya utawala.

Tulitazame taifa la HAITI ambalo mpaka sasa halitwaliki.Tuitazame DRC,CAR na nchi nyingine za mfanano huo.Tunaweza tukawa hatuna Mfumo BORA sana wa kisheria na kidemokrasi lakini kama mfumo wetu unafanya kazi kwa sasa tusichokonoe sana.Wakati utafika ambapo mfumo huu utamliza wajibu wake na tutalazimika kuubadilisha na utabadilika.

Tuzingatea kanuni,Tulinde haki na Amani.Tuwe Wazalendo.Mungu amlinde na kumbariki Angel na Ampe Nguvu zaidi ya kuendelea kuota Ndoto na Ndoto zake zitimie.Amen
 
UMENENA VYEMA NDUGU, vyombo vilifanya kazi yake walichonganishwa waiasi serikali lakini kwa mfumo wa tanzania ulivyo ni ngumu sana kuasi kwa sababu vimefungamanana mno, tumekosea sana sana washenzi kuwasikiliza wanaharakati
 
sasa fikiria ile vurugu ingeeendelea wiki 2 leo wote tungekuwa wakimbizi na vilema bora hayo majimbwa yalipigwa risasi na kwa bahati mbaya hawa wachache na ni lazim kwenye fujo kuna kukosea ila CHANZO NI MAJIMBWA , MAJAMBAZI, MAJIZI, MAHUNI MASHENZI, VIBAKA WA october 29
 
NI KOSA KUBWA SANA KURUHUSU MUSLIM BROTHER SHIT KUONGOZA NCHI.
usilete udini mimi mkristo safi sana lakini hii issue haiusiani na udini ni ujambazi, vibaka vs watuliza vurugu
 
yaani ilikuwa hivi, wahuni walikuwa wamelewa na wamevuta bangi, wakimuona mtu kapiga kura wanakupiga, inawezekana mtoto alipita wakamchanganya au polisi kwenye kudhibiti fujo kweli kabisa kuna watu waliwapiga risasi kimakosa lakini ni wachache sana , na ni lazima kwenye kila vurugu kokote duniani lazima kuna watu wema wanaumia
 
kwenye lile tukio labda mpelekeeni Maria Sarungi na Mange kimambi wawasaidie majeruhi
 
Laana yako Is real, mtoto wa miaka 13 alienda kupiga kura.
Hiyo furaha yako ya kushabikia kumwaga damu za watu haitadumu milele.
Endelea kuhalalisha hayo mateso anayopitia huyo mtoto kisa unapata posho
 
Umri wako tafadhali
 
Kwa nini waislamu mlificha maiti na kukanusha hata video za mochwari ..nataka majibu ... waislamu wenzenu Oct 29 wameua sana makafiri ..walikuwa wanashindana kabisa kuua makafiri..
bahati yako wewe fisi uliejificha chini uvungu
leo hii una uhuru wa kulopolopo mitandaoni
 
Hata walio wahalifu, iweje wapigwe risasi za moto na wakati hawakuwa na silaha zozote zenye kulingana na polisi...
Ukivamiwa nyumbani kwako na mtu mwenye panga anataka kukukata ,wewe una bunduki, hutaitumia hiyo bunduki yako kwa sababu silaha hazifanani?
 
Maskini binti huyu amenitoa machozi kama Lucas Mwashambwa. Katoto kenyewe kazuri kanatabasamu tu pamoja na madhiraa kanayopitia! Halafu kuna umbwa zinasema waandamanaji. Mungu aendelee kukasimamia! Serikali igharamikie wote walionusurika!
 
Napingana nawe/Nakukatalia serekali ilishasema watu 518 wakiwepo majeruhi,hadharani
 
Napingana nawe/Nakukatalia serekali ilishasema watu 518 wakiwepo majeruhi,hadharani
Mkuu tatizo sio kutaja na wale waliotaja hiyo idadi ni tume na hata katika bajeti ya mwaka huu hakuna walipoligusia Hilo kuhusu wahanga wa matukio hayo watafanyiwa nini na ukumbuke bajeti zimepita wakati tayari hizo idadi unazozisema tayari zimetajwa.

Kuna under age wengi sana waliopata majeraha na kwenda ofisi za mkuu wa mkoa na wilaya hawajapata msaada wowote zaidi ya kujibiwa tu kuwa hakuna maelekezo yeyote waliyopata kuhusu wao Hadi Leo hii zaidi ya kupewa tu barua za kibali cha kuomba michango kwa jamii au kwa taasisi binafsi. Kiufupi serikali Bado haijawatambua hao wahanga ndo maana hujawahi kusikia wakiongelewa hata Kwa bahati mbaya serikalini/bungeni🖐️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…