Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Shida sio waalim competent noooo, big noo, suala ni usimamiz kwa watoto wetu basi, kwakifup wazaz sasa wanakwepa jukum la msingi la kusimamia na kuongoza watoto kwenye masuala ya msingi hii ni fursa private wameiona ndio wanawapigia pesa
Ndo maana ya kuletwa hela sasa, it's capitalism bro
Tukubali dunia imebadilika sio kila kitu utafanya wewe mzazi na haushindi 24hr na mtoto wako, toa hela watafill gape ambayo kwa namna fulani hutaifill
 
kuna kayumba nimeziona ni kama zimegeuka mtambo wa kufetua daraja sifuri kidato cha pili

hawa nafikiri wamulikwe wamejiachia sana
 
Wadogo zangu wanasoma wapi?
 
Inakatisha tamaa pale huyo unayemsomesha kwa Tsh 5mill akirudi mtaani kumtofautisha na aliyesoma Kayumba inakuwa kazi,yaani ni kama wanafanana.
Aseh uwa inasikitisha sana,na pengine mbaya zaidi,kamaliza chuo ako na bahasha yake mkononi anaenda Kila office kuapply hadi soli ya kiatu inaisha na hakuna anachoambulia,upande mwingine mtoto wa fulani aliishia la saba lkn anapeta na kazi yake yakurekodi CD na kurepair simu mtaani..
 
Siwezi kumsomesha mtoto wangu shule za serikali za hovyo.
 
Shule za serikali zipo Kwa ajili ya watu masikini ambao hawana kipato
 
Shule ambayo analipwa laki tatu imejaa wanafunzi elfu moja ndo nimpeleke mtoto wangu Junior JR
 
Yaani Jambo Usilolijua Kama Usiku Wa Giza Hizo Shule Wengine Mitihani Wanaonyweshwa Ili Kuvutia Biashara Zao Wewe Mzazi Unafurahi.....

Ndio Maana Wakiingia Vyuo Vikuu Wana Disco Nusu Darasa
 
Sio kwamba hawana umahiri wanaamua kupuuzia , wanachukulia poa na wengi wamekata tamaa … kama una pesa ya kulipa ada , kalipe
Yaani Jambo Usilolijua Kama Usiku Wa Giza Hizo Shule Wengine Mitihani Wanaonyweshwa Ili Kuvutia Biashara Zao Wewe Mzazi Unafurahi.....

Ndio Maana Wakiingia Vyuo Vikuu Wana Disco Nusu Darasa
sio kweli.
 
Ujinga mtupu,........Zanzibar wanaongoza kwa kufeli hio elimu yenu ya kukalili,........ila wapemba wengi ni matajiri kuliko maprofesa
 
Kwa mawazo yangu ubora wa Elimu ni ngumu kuona kwenye hizo A. Maarifa atakayopata ambayo yatakua msaada katika maisha yake ndio yataonyesha ubora wa hizo A. Otherwise ni grade tu, no more no less.
 
🤣 🤣 🤣 🤣
Assessment
Mtihani wa upi maji kidato cha pili na darasa la nne
Mitihani ya upi maji yaani ni upimaji
 
Tatizo watanzania tumeshakariri kama umasikini ni sifa lakini uongo mbaya hakuna mtu asiyetaka mwanae asome pazuri
Huu ndio ukweli hawa wanao zichagiza shule za kayumba ni vile washakubali matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…