Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Watoto wengi tu wamebamiza A za flat. Kuna shile inaitwa mlimani hapo mchepuo wa kiswahili ila wana watoto 33, wenye A flat ni kama 9. Wengine ni A nyingi na B chache
 
Itakuwa kwenye ukoo wenu hamna akili,,unashangaaa A za darasa la nne?njoo kwetu ushangae One za 7,8,9 za O levele na one za 3,4,5,6 za A level,,na Gpa za 4,,,,
 
Much πŸ‘ appreciation 😁 Kwako... wewe ni mtu mzuri.
 
Elimu ya Tanzania ni changamoto mimi namlaani sana aliyeandaa mitaala ya elimu wakati ule tunasoma, walikuwa watuandaa kuwa watumwa wa CCM.
Zile nyimbo za kuisifu tanu na mwenyekiti wake matunda yake tunayaona leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…