Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

116096.png
 
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.


Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja

Elimu nzuri ni gharama wakuu.

Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.

Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.

Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k


Elimu nzuri ni gharama.
Watoto wengi tu wamebamiza A za flat. Kuna shile inaitwa mlimani hapo mchepuo wa kiswahili ila wana watoto 33, wenye A flat ni kama 9. Wengine ni A nyingi na B chache
 
Itakuwa kwenye ukoo wenu hamna akili,,unashangaaa A za darasa la nne?njoo kwetu ushangae One za 7,8,9 za O levele na one za 3,4,5,6 za A level,,na Gpa za 4,,,,
 
Oh..... Basi mtengenezee mazingira mazuri ya kuzifikia ndoto zake kwa urahisi bravo!

Mtoto kuwa wa single sio tatizo coz nina aunties zangu wawili ni single mom wanae wote wapo chuo wanazisaka degree.... Nina mwingine mwanae kavuka mpaka boarder kuisaka elimu.....

Kibaya kwa single mom ni kuwajaza maneno hasi watoto kuhusu baba zao au upande wa wenza wao.... Na wao single mom wali divorce sio kuzalishwa home japo wata fall kwenye category hiyo......

single mom wajenge uhusiano mzurii wa mtoto/watoto na upande wa mwenzake awe ni daraja asiwe ukuta.....

Hii inajenga bond nzuri.....

Hongera kwa mwanao.... inatia moyo kumwona mtoto akifanya mambo kadhaa.....

Sijifii lakini nakumbuka nilikuwa napata kipaimara ile askofu kasema fungua kitabu flani (sikumbuk) nikawa sharp nishafungua ......

Akasema aliepata aje.....

Mwamba Mimi Tena 😂..... Nafika mbele....

Nasoma mstari tuu mzee wangu kainuka kuona ni mimi..... Alinambia how he feeling...... plus watu wanaonijua

Hujaja school sitaki kusema....... Ila mtoto akiwa na nidhamu, mtiifu, anafaulu oyaah wazazi wanafurahi sana.....

Mpe dogo maua yangu......
Much 👍 appreciation 😁 Kwako... wewe ni mtu mzuri.
 
Elimu ya Tanzania ni changamoto mimi namlaani sana aliyeandaa mitaala ya elimu wakati ule tunasoma, walikuwa watuandaa kuwa watumwa wa CCM.
Zile nyimbo za kuisifu tanu na mwenyekiti wake matunda yake tunayaona leo
 
Back
Top Bottom