Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hv jamani picha ya Jesca bado haijapatikana tu...au imenipita...???chonde chonde...jamani tumuone Jesca wetu.
 
Hivi mtu akiwa private candidate Form IV anapitia NACTE au TCU ?
 
Kuna Njia ambayo anaweza Kuwa kapitia huyu Mrembo ila napata shaka kama Ana uwezo Huo kweli .
 
Hii Tanzania yetu ni
Kama habari zinazotuijia ni za kweli basi Rais atakuwa hajawatendea haki hawa vijana. Diploma za miaka 3 ya Ualimu hazikuanza leo. Mkwawa kilikuwa Chuo cha Ualimu ambacho kilikuwa kinachukua wanafunzi kwa mtindo huu wa UDOM. Inawezekana kabisa Rais alikuwa mmoja wa hizo program. Walikuwa wanafanya form five na six then diploma 1 year. Ndiyo maana nafikiri alipotoka Mkwawa alikwenda kufundisha moja kwa moja kabla ya kwenda Chuo!!!!
 
nchi kwa sasa haina mwelekeo...ndio athar za kumkabidhi mwendawazimu nchi..
 
Baada ya kumpa kisa hiki mzee wangu ambaye ni mwalimu mstaafu,aliniuliza hivi hao watoto kama hawana sifa za kufundisha sekondari,je wangemalizia huo mwaka wa tatu wangekosa sifa za kufundisha primary?nikamjibu waalim wa sayansi primary wametosha.
Mzee wako yuko sahihi. Upungufu wa walimu wazuri wa masomo hayo primary uko.

Mpe salamu mzee wako na mwambie tuna appreciate busara zake.
 
Polifix is a poison
Ndo maana Bongoland hatuendelei
 
Du, hii nimpya. Pombe kupiga kelele zote zile kumbe naye yumo kati ya wale aliowaita watoto wa wakubwa kuingia UDOM.

Mmmmmmm, wanasiasa ni waongo kweli kweli. Naye Jesika aondoke.

Kumbe Magufuli ana ushahidi wa kusemakuwa ni Tanzania pekee mtu analwenda chuokikuu na Div 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…