Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,985
Kwa mamaHvi kwa kawaida mtoto IQ huwa anaridhi kwa nani?
alinza cheti lini na diploma lini?Acheni kupotosha umma nyie,huyo binti amesoma diploma ya HRM chuo cha utumishi wa umma magogoni ndio akaenda udom.
Kama ni kweli yupo mwaka wa pili basi kwa hatua alizopitia hili haliwezekani anatakiwa awe mwaka wa kwanza kwa maana kwa hizo ngazi atapita miaka 3 hata tukienda kimahesabu hili swala haliwezekaniki. Kama ni mwaka wa kwanza ambayo semester ya 2 ndo inaelekea kuisha hapo sina cha kuhoji vinginevyo lazima tuhoji amefikaje?Binafsi huyo mtoto naona yupo hapo kwa usahihi, maana hiyo system inayoonekana hapo ni ya Nacte, ikimaanisha kua alienda certificate(D 3 zinaruhusu kufanya hivyo), na kisha akaunga diploma, na baadae akaapply degree kupitia Nacte kama inavyotakiwa kwa watu wa equivalent. Na kuhusu kuselect wanafunzi kwa ngazi ya degree Nacte wanafanya hivyo, na nna ushahidi juu ya hilo. Wanachokifanya baada ya kuselect na kupangia wanafunzi katika vyuo husika, yale majina ya waliochaguliwa na kupangiwa vyuo yanapelekwa tcu ili kuunganishwa na mengine ya form six leavers na baadae kupelekwa bodi ya mikopo. Hivyo labda povu liwatoke juu ya huyo binti kupata div 4 form 4, na sio juu ya kusoma degree, maana yupo hapo kwa mujibu wa utaratibu, na wapo wengi kama yeye na wataendelea kuwepo, na walikuepo pia kabla yake
Matokeo ya mwaka 2011 yalitoka 2012 usidanganye watu.Matokeo yalitoka February au March mwaka 2011
Certificate kaanza September 2011 mpaka May 2012
Diploma September 2012 mpaka May 2014
Degree September 2014 mpaka June 2015 first year
mwaka wa pili September 2015 mpaka June 2016
Bado kuna swali?
Mjahidina Sikuona comment yako mwanaasha alivyozungusha kipindi kile[emoji3]Na huyo si katokea Madrassa't Chato.
Form six kwenda diploma possible kama una sifa kama principal pass moja na satisfactory (s) moja but mtu aliyetandika zero form six ana sifa gani ya kusoma diploma???Form six kwenda diploma possible
Certificate ya English, au?Alisoma cheti baadaye diploma na sasa degree hii ipo sawa
REKEBISHA HAPO TUNAJIFUNZAi seen it, things are getting worser............
Hata wafundishwe uchi waislam elimu sio hulka yao,ndo mana anaweza kubishana bila hoja ,bila ushahidi,bila taarifa za kutosha utapoteza muda kakatop ten hamna muislamu ata mmoja.mumetia aibu sana kwa mara nyingine.na yule wa kwanza kutoka Feza boys ni mkristo.itabidi mlazimishwe kusoma elimu dunia.