Mkuu FTC ni kwa Div 4 ya 30? wanaosoma FTC ni wale wenye C 2ndiyo ,hata wakati mwingine hauhitaji Diploma na form6, unaweza kuwa na certificate na baadaye ukajiunga chuo kikuu na ukafika uko ukawaungisha tela wale wa diploma na four six. ....Waulize wenye vyeti vya FTC za DIT, MIST n.k
JAMANI TECHNICIAN NI MTENDAJI WA KUAMBIWA FANYA HIVI NA HIVI WITH GUIDING PROTOCOL TO FOLLOW. HAIHITAJI UFAULU AU KUWA NA AKILI ZA JUU SANA KUFUATANA NA KAZI ZAKE! Technician ni mtu wa kutumwa leta hiki, fanya hiki etc. hivyo div 4 anawez kabisa kufanya kazi nzuri.Mkuu FTC ni kwa Div 4 ya 30? wanaosoma FTC ni wale wenye C 2
Hamna anenunua mtihani,miundo mbinu bora na mipangilio,za kiislam huwa zinachemsha hapoWananunua mitihani! wengi wao wakienda A-level kwenye shule za kawaida huwa wanafeli sana!
una nasaba na familia nini? Mbona unasemaje zimekuwa nyingi?
Ungemshauri babake asiwaseng'enye watoto wetu vilaza.Afu nashangaa,majitu mazima humu na heshma zenu,mmekalia kukasengenya katoto kadogo ambako hakajai hata kiganjani.pathetic
1954, watu wanahoji yaliyo ya kweli au kwa vile yanamgusa "MUNGU"Kwa kuwa hata ninyi maswali yenu (na ambayo hayajitoshelezi) yamekuwa mengi
Sio kununua kaka,sihata wafaulu tu kawaida?elimu sio hulka ya waislamu jamani,wapo kushindana kwa ishu zisizo na tija kwao,hivi shule za waislamu wao hawana hela ya kununua mitihani??
Ndilo tatizo la "MUNGU" anasahau kuwa na yeye wa kwake ni KILAZA tena ukienda ndani sijui wife alipata ufaulu gani ngazi zote. Kuna maneno hupashwi kuyasemaUngemshauri babake asiwaseng'enye watoto wetu vilaza.
Yupo chuo gani?2012-2013 certificate
2013-2015 diploma
2015/2016 first year
kama yuko first year sawa ila kwa 2nd year labda awe ametumia mfumo huu hapa chini upo tz
2012 kareseat
2013 kasoma five na six one year .
2014/15 first year chuo
2015/16 second year chuo
so its possible kuwa second year .
Toa sababu nyingine sio ya kitumwa hiyo,we unaona kiingereza dili wao wanajua lugha yako?au once a slave always a slaveMnashangaa nini sasa. Hivi kwa siasa za tz mnategemea iposiku tutakuja pata raic mwenye akili zaidi ya nyerere?
Tena awamu hii ndyo tumepata kilaza anakimbia wazungu kulonga nao ng'elii. Bora hta ya kikwete ingawa na yeye alikuwa kilaza academically lakini socially alkuwa vzur.
kile chuo kilichofukuza vilaza 7000 juziYupo chuo gani?
Kama alianza certificate angetakiwa kua mwaka wa kwanza ila sasa hivi yuko mwaka wa pili hapo ndio kuna tatizo,na kama angedahiliwa na TCU ningesema labda alirudia mtihani uku akiwa form 5 lakini kadahiliwa na NACTEBinafsi huyo mtoto naona yupo hapo kwa usahihi, maana hiyo system inayoonekana hapo ni ya Nacte, ikimaanisha kua alienda certificate(D 3 zinaruhusu kufanya hivyo), na kisha akaunga diploma, na baadae akaapply degree kupitia Nacte kama inavyotakiwa kwa watu wa equivalent. Na kuhusu kuselect wanafunzi kwa ngazi ya degree Nacte wanafanya hivyo, na nna ushahidi juu ya hilo. Wanachokifanya baada ya kuselect na kupangia wanafunzi katika vyuo husika, yale majina ya waliochaguliwa na kupangiwa vyuo yanapelekwa tcu ili kuunganishwa na mengine ya form six leavers na baadae kupelekwa bodi ya mikopo. Hivyo labda povu liwatoke juu ya huyo binti kupata div 4 form 4, na sio juu ya kusoma degree, maana yupo hapo kwa mujibu wa utaratibu, na wapo wengi kama yeye na wataendelea kuwepo, na walikuepo pia kabla yake
Hata wafundishwe uchi waislam elimu sio hulka yao,ndo mana anaweza kubishana bila hoja ,bila ushahidi,bila taarifa za kutosha utapoteza muda kaka
S1071/0099Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu