Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Acha kutudanganya Wewe...
 
[SUP][/SUP][SUB]nashangaa watu mnashangaa hiyo $500 . Hii ni ya pale Maison na watu wanatumbua kwa usiku mmoja [/SUB]
 
Aliye elewa hili povu anitag
 
Angalia vizuri Bei niliyokuwekea [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi mwenyewe nimemshangaa Huyo jamaa eti kila aneingia pale yatch eti ana boti.
 
wakati mfuasi mtiifu wa CHADEMA Ethrocytes anakula miguu ya kuku huko Tandika Kilimahewa, hata iyo Yatch haijui kabisa
Acha umbea wewe kwa hiyo unataka kusema ccm kuna sehemu wamekosea kwa nini ale miguu ya kuku hutu tukiwa kwenye uchumi wa kati hembu nielimishe nipate kujua
 
Mla Bata hivi wewe sio member hapa kweli Yatch club? Nitumie kanafasi ulikonako kuosha nyota
Bdw Uzi uloniqoute unazosema Magu amezuia Sana wizi mods wa ccm amenizuia nisiweze kureply πŸ˜†πŸ˜†! Bullshit!.so nalike tu
 
Mla Bata hivi wewe sio member hapa kweli Yatch club? Nitumie kanafasi ulikonako kuosha nyota
πŸ˜…Bata hilo sijalipa kipaumbele tu, 500 USD per yr sio jambo la kuumiza kichwa (in Kiduku Lilo voice) inabidi tufanye utaratibu wa kujoin mkuu.


Bdw Uzi uloniqoute unazosema Magu amezuia Sana wizi mods wa ccm amenizuia nisiweze kureply πŸ˜†πŸ˜†! Bullshit!.so nalike tu

Aisee πŸ€”, imekuwaje wamekutia kufuli mkuu, umewagusa kunako??? πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…