Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
tuwalinde watoto lakin tumuombe mungu pia atulinde sisi na watu wetu wa karibuKweli mkuu haka katoto ntakua nakazuia kasiwe kanachezea maji maana kanapenda sana kucheza na maji, isije siku na sisi yakatukuta km yaliyomkuta Davido kwa ifeanyi
Popo? 😂😂😂 Popo anamgongaje mkuu? 🤣Huyo witnessj humuwezi,inaonekana anagongwa na Wapopoo!!
😓😓😓😓😓So sad,
Kweli mkuu, kikubwa kuombeana uzima ingawa pia kazi ya MUNGU haina makosa,tuwalinde watoto lakin tumuombe mungu pia atulinde sisi na watu wetu wa karibu
kabisa mkuuKweli mkuu, kikubwa kuombeana uzima ingawa pia kazi ya MUNGU haina makosa,
Kwahiyo mkuu, mtoto wa Davido yeye hatakiwi kufariki? Au anatakiwa kufariki Kwa mtindo upi ili awe amefariki kihalali kama mtoto wa Mzee Mosha hapa Moshi tuliotoka kumzika jioni hii?Hizi zingine ni blah blah....haya ni mambo ya billionaire club mkuu!
Wao wanajua wanachokifanya!
Kuna drama lilikuwa linaendelea kati ya chioma na David kumbe ulikuwa zuga watu wasistukie[emoji848]
Falaa wewe [emoji28][emoji28]Huyo witnessj humuwezi,inaonekana anagongwa na Wapopoo!!
Imagine[emoji26]Popo? [emoji23][emoji23][emoji23] Popo anamgongaje mkuu? [emoji1787]
Kuna wajinga watapingaWamemgawa Kwa freemason, umaarufu Una gharama
Anakuonea mkuu kweeeeli wewe ugongwe na popo huyu huyu nnaemjua mimi? Amekukosea mkuu akutake radhiImagine[emoji26]
Mkuu davido tumeanza kumjua/kumskia miaka kadhaa nyuma kutokana na kazi yake ya usanii na tangu davido ametoka kwenye game hajawahi kushukaYup, karibia kila mwaka someone around davido anafariki.
Pia ni november... sacrifice season!
Sitaki kusema sana, lakini tuweni wa kweli. Hivi huyo mtoto alikuwa wa kike au kiume? Maelezo yanasema ni mtoto wa kiume, lakini hizi picha zinaonyesha muonekano wa mtoto wa kike. Hapa pamenichanganya sana.
We babu tena usijichanganye as if you can check me! OkMkuu davido tumeanza kumjua/kumskia miaka kadhaa nyuma kutokana na kazi yake ya usanii na tangu davido ametoka kwenye game hajawahi kushuka
Kwa Tanzania tumekuja kumfahamu vizuri kipindi ambacho ameshirikiana na msanii wetu Diamond mwaka 2014, nadhani ili kujaribu kutrace back history ya usemacho tukianzia hapo sio mbaya, tuanze na mwaka huu
1.Mwaka 2022 amefiwa na Mtoto wake
2.Mwaka 2021 alifiwa na rafiki yake karibu
3.Mwaka 2020 alifiwa na nani wa karibu?
4.Mwaka 2019 alifiwa na nani wa karibu?
5.Mwaka 2018 alifiwa na nani wa karibu?
6.Mwaka 2017 alifiwa na nani wa karibu?
7.Mwaka 2016 alifiwa na nani wa karibu?
8.Mwama 2015 alifiwa na nani wa karibu?
Karibu utujuze mkuu
Mganga hana tatizo mkuu mganga ni wakala tuu ila masharti na vigezo huwa unakubali mwenyewe muhitaji na huyo devilKuna binadamu wana roho ngumu sana kwa kweli
Unaua ili uzidi kuwa Top daa halafu wa karibu kabisa
Hao waganga walaaniwe
List ni hii;Mkuu davido tumeanza kumjua/kumskia miaka kadhaa nyuma kutokana na kazi yake ya usanii na tangu davido ametoka kwenye game hajawahi kushuka
Kwa Tanzania tumekuja kumfahamu vizuri kipindi ambacho ameshirikiana na msanii wetu Diamond mwaka 2014, nadhani ili kujaribu kutrace back history ya usemacho tukianzia hapo sio mbaya, tuanze na mwaka huu
1.Mwaka 2022 amefiwa na Mtoto wake
2.Mwaka 2021 alifiwa na rafiki yake karibu
3.Mwaka 2020 alifiwa na nani wa karibu?
4.Mwaka 2019 alifiwa na nani wa karibu?
5.Mwaka 2018 alifiwa na nani wa karibu?
6.Mwaka 2017 alifiwa na nani wa karibu?
7.Mwaka 2016 alifiwa na nani wa karibu?
8.Mwama 2015 alifiwa na nani wa karibu?
Karibu utujuze mkuu
Inasikitisha sana mkuu kuamini mambo hayaMganga hana tatizo mkuu mganga ni wakala tuu ila masharti na vigezo huwa unakubali mwenyewe muhitaji na huyo devil
Uchawi upo mkuu ila hili la davido sidhani kama Lina uchawi ndani yake isipokuwa ni ajabu tu Swimming pool kuachwa wazi na wadada wa kazi kumsahau kabisa...!! Inaumizaa ilaa watu hasa wasanii marufu hawajifunzi ..Inasikitisha sana mkuu kuamini mambo haya
Sijawahi kuamini kwa sababu father alikuwa anapinga sana na ukimuambia huyo ni mchawi anamfokea na kumkaripia sana
Alikuwa haogopi na anawapiga wakimzingua
Alikuwa anatuambia muaminini Mungu tu
Hawa wanaofuata masharti mpaka unamtoa na mzazi au mtoto ajabu sana for what utajiri au mapenzi daa
Kumbe ni wa kiume? Mbona kama wa kike?
Noana ni WA kike media zinachanganya kulishakuwa na propaganda kabla ya icho kifoKumbe ni wa kiume? Mbona kama wa kike?