Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana


Mimi huwanasubiri siku kijana wa CCM ajisahau na anipe fursa ya kuongea mengi.

Familia yangu ilikuwa harassed miaka nenda rudi na watu waliokuwa wanasema wao ni usalama wa taifa.

Magari yenye namba plate za serikali yametufuata kila mahali tangu nilivyokuwa mtoto na mmeacha baada ya post yangu ya kwanza JF December 2024. Halafu wanamtandao wakampata mtu ambaye nilifikiri ni rafiki yangu anidanganye baba yako anakulinda. It was pure intimidation and an abuse of power. Mtu halipi hela ya matumizi ya mtoto wala ada ya shule lakini anatuma watu wanilinde -- wanamtandao mliona mimi sina akili aiseee.

And there are more stories where that came from kuhusu mambo ya deni la Iran, contracts jeshini.

Na wanamtandao kama nilivyomwambiaga spy wenu mmoja hivi, I am sure aliwafikishia ujumbe, mkishika hata nywele mmoja kichwani mwangu, na ngoja niongezee au nywele hata mmoja ya mama yangu, mtakuwa mmefungua Pandora's Box.
 

Leo CCM kijana wenu kakanyanga pabaya, mbona haujasema Olympic ?
 
Logical non sequitur fallacy from a cwrtified cretin, an ignorant imbecile who is also a nagging nincompoop.
 
Umaarufu wa kijinga kautaka Mwenyewe, Mara aonekane Uganda ma Mseveni kama states man, Mara tumsikie akiwafata akina TAL nyumbani kuongea nao waache kupiga spanner, Sasa kwanini asifuatiliwe?

Anashindwa kula na kipofu mpaka amshike mkono?
 
Sioni sababu ya Ku-exposé mambo ya Kifamilia mtandaoni Kama mzee wako hakukupa kile unachohitaji sifikirii Kama itakuwa sahihi kulalamika kila siku.

Be positive kumuongelea baba in negative way haipendezi .
 
Masaki wameijua juzi hawa wakati sisi tunaijua Masaki ya Raiders Posse.
 
Masaki wameijua juzi hawa wakati sisi tunaijua Masaki ya Raiders Posse.

HAHAHA Masaki napajua lakini Raiders Posse sipajui, mimi mpaka leo ni mtu wa nyumbani lol. Hayo magari waliokuwa wanatufuata hata wao wanajuaga naendaga sehemu nne tuu mjini -- bakery 2, sehemu ya kununua rasta, na supermarket.
 
Wewe mwenye mawazo machafu ndiyo unaona tunatongozana.

Hunijui. Humjui Aminata. Hujui historia ya mazungumzo haya. Hujui chochote unafikiri kwa kuwa wewe unaendeshwa kwa nyegenyege tu kila mtu yuko hivyo.

Bloody guluguja.
Samahani bwana kiranga kama nmekukosea huyo dada ananijibu vibaya ni ngumu sana mi kushambuliwa nikanyamaza bwana kaka

Fullstop, kwishaaa
 

Things so calls mikwara, fb na insta ukiwa na I'd og ni SEHEMU nzuri zaidi ya ku fall apart ila hapa naona ka ni keyboard warrior


Fullstop kwishaaa
 
Kwani utawala wa mama yake ni wake? Acheni ushamba na uchawa. Kwanini watoto wa Nyerere hawafuatwifuatwi kama hawa wa majizi tuliyo nayo?
 
Things so calls mikwara, fb na insta ukiwa na I'd og ni SEHEMU nzuri zaidi ya ku fall apart ila hapa naona ka ni keyboard warrior


Fullstop kwishaaa

CCM at its best

Jibu hoja kwa hoja.

Nani amefall apart ? Delusions sio kitu kizuri.

Jina langu hilo la ukweli.

Picha ya ukweli.

Maneno niliyoandika ni ya ukweli.

Unaongea na Aminata Buganzi Ruhinda Ntare, formerly known as Aminata Buganzi Kinana.
 
Huyo kijana ni yupi dada angu una Manisha Mimi au? Inaonekana una stress dada angu we ni singo Maza?



Fullstop, kwishaaaa

HAHAHAHAH LOL Kwa bahati mbaya sijaolewa wala sina mtoto lolololololol

Sisi tuko hapa tunakucheka haswa unavyohaha kazi yako uliyotumwa inavyokushinda wewe unasema nina stress.
 
Logical non sequitur fallacy from a cwrtified cretin, an ignorant imbecile who is also a nagging nincompoop

Ndo nani kwa mfano hata nyanjilinji tu hapo hujulikani hapa Tanzania unalazimisha tu ustar dada ake


Fullstop, kwishaaa
 
HAHAHAHAH LOL Kwa bahati mbaya sijaolewa wala sina mtoto lolololololol

Sisi tuko hapa tunakucheka haswa unavyohaha kazi yako uliyotumwa inavyokushinda wewe unasema nina stress.
Mnanicheka na nani sasa? Au mnacheka pekee enu,? Wapelekee taarifa wambie bro alex ni mtambo wenye MASHINE ya kusaga na kukoboa, sinaga kuonjesha ukijaaa unajazwa


Fullstop, kwishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…