Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Wewe andazi na wewe, kwenu alifikaje wakati unaambiwa alikuwa hatoki ndani tangu asubuhi!Alikuwa anakula kwetu akirudi home ameshiba yeye analala tu
JoblessHivi huo muda wa kujua jirani anavaa nini hadi anakula nini hua mnaupata wapi....🤔
Mjni hapa kama anashughuli anafanya online akiwa ndani?Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Ukijiunga bando, unaingia Tiktok, jamii forum, facebook, snapchat, whatsapp na huko telegram na whatsapp una magroup ya ngono na umbeya.Majiran lazima mnajuana ata kama n biashara ya mtandaoni au anafanya kaz nyumban lazima mngejua huyo atakuwa muuza madawa au jambaz
Mtu anasomea onlineMkuu hata kusoma watu wanasoma online unakuta MTU anasoma hadi anafanakiwa kupata degree , masters kupitia online.
So mambo yanabadilika
Link mkuu ni muhimu, mfano kazi za kwenye mashirika au taasisi tunapataje link zao.Tafuta kazi kwenye taasisi/makampuni/mashirika za/ya kimataifa zipo nyingi za kuwork from home, kazi kama hizi huwezi zikuta utumishi!
Mtu anasomea online
Anafanyia mtihan online
Anapatia kazi online
Anafanyia hio kazi online
Analipwa online
Akitoka anaenda bank au bar tu kurefresh, kukimbizana na joto la dar na minuko ya kwenye daladala na mwendokasi ya nini sasa?
Ingia Google - search Meta career au google careers-huko utapata kazi kama software engineering, machine learning, front end developers, bank end developers, cyber security, software testers… etc - kazi zote hazitaji kwenda of offisini. Waweza kuzifanya kutokea popote duniani bila kutoka humo ndani ya nyumba yako- ni wewe na computer yako tu…Link mkuu ni muhimu, mfano kazi za kwenye mashirika au taasisi tunapataje link zao.
With much thanks 🙏🙏🙏Ingia Google - search Meta career au google careers-huko utapata kazi kama software engineering, machine learning, front end developers, bank end developers, cyber security, software testers… etc - kazi zote hazitaji kwenda of offisini. Waweza kuzifanya kutokea popote duniani bila kutoka humo ndani ya nyumba yako- ni wewe na computer yako tu…
Zipo Nyingine sana na research -what kinds of jobs could be done without going to physically going to the office . Utapata majibu mengi sana…
Nyingine zisome hapa :
Ingia Google - search Meta career au google careers-huko utapata kazi kama software engineering, machine learning, front end developers, bank end developers, cyber security, software testers… etc - kazi zote hazitaji kwenda of offisini. Waweza kuzifanya kutokea popote duniani bila kutoka humo ndani ya nyumba yako- ni wewe na computer yako tu…
Zipo Nyingine sana na research -what kinds of jobs could be done without going to physically going to the office . Utapata majibu mengi sana…
Nyingine zisome hapa :
IT, Data, writers/editors, Accountants, HRs, wapokea simu (sijui wanaitwaje)Jiulize mlinzi wa mtandao kama jamiiforums cyber security anafanyia kazi wapi ?
Watu wa IT huwa wana uwezo wa kufanyia kazi nyumbani tu. Bila kutoka nje
Unaishi ndoto zangu aisee🤔🤔Hii lifestyle nimeishi sana
Nilikuwa na bodaboda 17, kuku wa kufuga nilianza nao 300. Plus I also make money kwa kazi zangu ambazo nilizifanya five years ago online
People still talk about it. Wanahisi nina hela za majini hususani wakikumbuka nilivyokuwa nanunua maroba makubwa wakijua ya Michele kumbe pumba za kuku
Tengeneza maisha yako uwe unapiga hela usingizini.
Hiyo inawezeka sana tu… kazi yangu ni kutoa ushauri wa kisheria Kwa makampuni humu duniani kutegemea jurisdiction niliyo kuwa licenced ku practise na haijawahi kiwa Shida wfh. Naishi bongo na natoka tu ndani ninapotakiwa na hayo makampuni ku- appear in person kama kwenye boards meeting etc…This is richest spirit 🙏🏽
Vipi mkuu kwa sisi ambao tuna ujuzi wa kuandika na kufundisha kiswahili tunaweza kupata tonge ?
Jibu sahihi ungelipata kwa kwenda kumuuliza muhusika yeye mwenyewe.Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Hahahahahaaaaa,umetishaHuyo ana mtaji wa 50 000 tu na kila siku anabeti Odds mbili za uhakika! Kwa siku anaingiza 50,000 huku anakunywa juisi ya pasheni
Hakuna odds za uhakika wakuu! Tufanye kazi