mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
We jamaa ni comedian bila shakaAgombee Halima Mdee wa Chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni comedian bila shakaAgombee Halima Mdee wa Chadema
Hapana mkuu, sikumpa Like tu peke ake kama ulivyoandika hapa. Nimemjibu hoja yake vizuri, na bila shaka kaelewa ndo maana hakurudi tena. Soma post namb #31 utaona nlichoandika. Na ikiwa utairuhusu akili yako kuwa huru kuchanganua kile nlichoandika basi utaelewa nlichomaanisha. Ila kama utasoma huku umebeba hisia ya uchama ndan ya akili na moyo wako, basi itakuwa ngumu kukubaliana na kile nlichoandika. Just go back to the post number #31, read afu uje na mtizamo wako.Mleta mada angekuwa ni mtu makini angekusoma kwa uangalifu zaidi ya kukupa 'like' kama alivyofanya hapa.
Kama kuna mtu aliyejitoa kikwelikweli (hata kama hilo halikuwa lengo na tegemeo mwanzoni mwa harakati zake), mtu huyu anayesemwa hapa kajitoa hasa. Lakini pamoja na kujitoa huko, watu aliotegemea wataelewa maana ya kujitoa kwake ikawa kama hawana habari naye. Hili linakatisha tamaa mtu yeyote yule, hata kwenye siasa.
Kuna kitu/jambo ambalo CHADEMA hawajalitambua vizuri kuhusu waTanzania, na kwa nini CCM inaonekana kuendelea kuwashikilia kama wapo jela.
CHADEMA inawapasa kudadisi na kuelewa ni jambo gani hilo.
Pamoja na ubovu wooote ilioufikia CCM, lakini waTanzania ni kama wameshikwa na sumaku wasiweze kujinasua. Jibu la CHADEMA na vyama vingine vya upinzani lipo hapo.
Wajiulize wenyewe, na wakilijua, CCM inakwisha.
Ukweli ni kwamba CCM imebaki kama mzoga tu, unaosubiri kufukiwa.
Soma thread yangu kwa kutulia bila kubebwa na hisia kali ya uchama. Nina imani hayo mengine utayaona nimeyaandika.Ni yapi hasa "haya mengine"?
Sasa mkuu Kalamu , thread imeshamzungumzia huyo mtu anatakiwa awe yuko vipi. Afu wewe unauliza swali ambalo limeshajibiwa kupitia thread yenyewe!"Kumpata mtu sahihi"? Huyo mtu yukoje? Usahihi wake utakuwa upi?
Mkuu Kalamu , Kama CCM ingekuwa na mtu sahihi, mimi ningetoa ushauri huu wa kazi gani?CCM wana "mtu sahihi"?
Halima Mdee ni nondo imara ya upinzani. Ila hawezi kupewa uenyekiti kwa sababu ya ukapuku wake.Ila Halima Mdee alistahili kuwa hata M/kiti wa CDM kuliko huyu aliyepo sasa! Yule dada anajua, anajiamini na ni mchapakazi. Hayumbishwi na walioshikilia rungu iwe ndani ya chama au nje ya chama. Yuko imara kusimama na kile kilicho sahihi, siyo huyu wa mbingu na Ardhi. 😂😂 ukisema mbingu na ardhi tafsiri yake ni kuwa umeridhika na utendaji kazi wa mtu huyo 100% hivyo hauna haja ya kuweka upinzani ni halali yake aendelee bila hata kupingwa. (Mbingu na Ardhi = pepo na jehanamu) sa uko peponi sa hv nini unahitaji tena?
🤣🤣🤣 kivipi mkuu?huyu jamaa ndio anafanya kipato cha lema na lisu ulaya kipungue, manake wanakosa cha kuongea.
Hahaha.. Ya ni kweli jamaa kafanikiwa kumiliki akili za wengi ndan ya chama.Wao tu na uchawa wao hata kwenye madhaifu hutetea.
Hahaha.. ila utakuwa unatembea na mnyororo mkuu, usije ukatoka nduki na michango ya chama 🤣🤣🤣Mm nitakua mtinza hazina wenu
Sawa. Mimi muaminifu mno. Yaani sitadokoa nitakua na maadili yote kwa maslahi mapana ya chama chetuHahaha.. ila utakuwa unatembea na mnyororo mkuu, usije ukatoka nduki na michango ya chama 🤣🤣🤣
Basi tukianzisha chama nitakupigania usimame kwenye hazina ya chama chetu mkuu. I'm sure, you deserve to be the one.Sawa. Mimi muaminifu mno. Yaani sitadokoa nitakua na maadili yote kwa maslahi mapana ya chama chetu
Ubarikiwe sana.Basi tukianzisha chama nitakupigania usimame kwenye hazina ya chama chetu mkuu. I'm sure, you deserve to be the one.
Ya ni kweli mkuu, tukiondoa uoga na kuamua kuunda chama chetu, hakika tutazoa maelfu, malaki au mamilioni ya wanachama na wapiga kura kutoka sehem mbali mbali za nchi.Jf wapo watu makini sana huo ndio Ukweli !!
Hahaha ngoja nikuongeze kwenye list hapo chini.Mm nitakua mtinza hazina wenu
Punguani mkubwa. Umemeliza bando langu bureHabari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wana JF wenzangu na watanzania wenzangu, ili chama cha CCM kiweze kushindwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 au 2030, yanahitajika mambo matatu.
1) Kwanza: kinahitajika chama imara cha upinzani chenye sera nzuri, zinazoeleweka na kutekelezeka. Chama hicho kiwe na sura ya kitaifa, kiwe na viongozi wakweli, wenye maono na misimamo thabiti ya kuikomboa nchi. Kiwe na mifano hai ya utekelezaji wa sera zake kupitia chama husika ili kiweze kuaminika machoni mwa watanzania wengi.
a) Sio mtu useme chama chetu kina misingi ya demokrasia wakati mwenyekiti wa chama ambacho kingekuwa mfano wa demokrasia hiyo ana miaka 20 madarakani.
b) Sio mtu useme chama chetu ni cha maendeleo, wakati wanaoendelea katika chama ni mwenyekiti wa chama taifa na genge lake, huku chama chenyewe kikiwa hakina hata ofisi ya kufanyika mkutano wa ndani.
c) Sio mtu useme chama chetu kitasimamia utawala bora na haki, huku ndani ya chama chenyewe hakuna anaeweza kuongelea lolote mbele ya mwenyekiti wa chama au makamu wake.
2) Pili: Anahitajika kuchaguliwa mgombea ambae hana makandokando ya uongo, uoga, unafiki na mwenye uwezo wa kweli wa kusimamia sera za chama chake bila kuyumbishwa na mtu yoyote iwe ndani ya chama au nje ya chama.
a) Sio kiongozi anakuwa na kauli za kilaghailaghai kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, na kiuongozi (kama tunavyoona hapo chini pichani) bila kujali madhara yatokanayo na ulaghai huo. Mtu wa aina hii ni ngumu kuchaguliwa maana watanzania wa sasa sio wale wa 2001, kule Zanzibar ambapo watu walikufa, kujeruhiwa na kufungwa, huku muhusika aliepiganiwa (aliekuwa katibu mkuu wa chama, na mgombea wa upinzani) akiwa Saudia Arabia kula tende na maswaiba zake. Mgombea akiwa hana msimamo thabiti wa kusimamia sera au hoja zake mwenye, basi hata Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Marekani ikija kusimamia uchaguzi bado ataangukia pua tu.
3) Tatu: Tume huru isiyoegemea upande wowote wa kisiasa. Tume iwe na viongozi kutoka vyama mbali mbali vya kisiasa na kiraia ili kujenga sura ya utaifa katika tume hiyo.
Ni hayo tu ninayoyaona mimi, katika kuijenga Tanzania bora zaidi ya kesho.
Asanteni sana.
View attachment 2319901View attachment 2319903View attachment 2319904View attachment 2319911View attachment 2319912
Hakika !!Ya ni kweli mkuu, tukiondoa uoga na kuamua kuunda chama chetu, hakika tutazoa maelfu, malaki au mamilioni ya wanachama na wapiga kura kutoka sehem mbali mbali za nchi.
Uoga wetu ndio kushindwa kwetu.
Ameen, ubarikiwe na ww pia mkuu.Ubarikiwe sana.
Wakifuata ushauri niliowapa hapo juu watafunga goli kiulaini.Kwa upinzani 2025 goli liko wazi kabisa ni wao waamue kufunga au kubutua.
Kwa kweli JF kuna watu wameigeuza choo cha stand ana kun.. yeyote.Mnapataga wapi akili za kuandika nyuzi za kijinga hivi...
Hivi unajisikia kuwa "umetoa ushauri" katika mada yako hii. Seriously?Mkuu @Kalamu , Kama CCM ingekuwa na mtu sahihi, mimi ningetoa ushauri huu wa kazi gani?
Kwani ushauri hutolewa kwa namna gani mkuu?Hivi unajisikia kuwa "umetoa ushauri" katika mada yako hii. Seriously?
USHAURI. Umempa nani?
Nitakwenda kusoma ile #31, uliyonielekeza nikaisome hapo juu; lakini sidhsni kwamba unajisikia kuwa umetoa ushauri katika mada yako iliyopo hapa.