Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
- Thread starter
-
- #101
Wakati Philipo alipomwomba Yesu awaonyeshe baba akajibu "Aliyeniona Mimi amemwona baba" (yoh 14:4-8) Hivi binadamu aweza kuyafanyia utafiti maneno ya Mungu kama ana imani?Tunapasa kuamini Yesu alikuwa na jinsi ya Mungu na binadamu ila alikuwa hajitangazi aliwachia wafuasi wake kuamua wenyewe. Ule utatu mtakatifu unadhibitisha Yesu ni Mungu kama ilivyo maji katika nafsi tatu yaani maji,barafu au mvuke vyote ni maji yaleyale.Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.
Hii ndiyo msg yake.
Nitaongea mengi ya kusikitisha.
Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.
Ugomvi wao ulikuwa yule aliyekamatwa asipelekwe jela, kwa sababu akipelekwa jela watamuweka rumande.
Wao ni Waislamu.
Yule mtangazaji akaenda kutangaza kwenye television. Akatangaza kwamba mtu fulani alikuwa ameshuka cd4.
Yule mtu akatangaza yale mambo.
Cha kushangaza, akarudi tena,amevaa vile vile kama kwanza,akayatangaza tena yale mambo kwenye TV.
Video ilionyeshwa lakini sehemu zingine ziliondolewa ama sivyo zingewaletea watu tuhuma nzito.
Mimi nimewafanyia kazi lakini mpaka Leo sijalipwa. Sasa hii inakuwaje,kwa sababu mimi nilikopa hela.
Nilimwambia( jina limehifadhiwa) awashughulikie.
Kuna mtu aliepanda gari pale stendi ya Mbezi,wamtafute yule mtu.
Huyu ananiambia tukutane anieleze zaidi, lakini mi naona I have heard enough.
We ukijua tu mish-mash utaelewa andrew anaongea vitu ganiMish mash😄
Nadhani tuendelee mkuu kama nia yako ni njema basi "tufoadie" hizo smsMimi nafikiri yajayo yanafurahisha.
Lakini hii topic ni very dangerous.
Labda Bora niache hii investigation.
Anwar Sunna ni mzee Ally Hassan Mwinyi ndo alikuwa anazuiwa kutoongea sanaAnasema yeye alishangaa sana yule Ansar Sunna alipokuwa anatangaza kule Chato kwamba Magufuli alipungukiwa cd4. Anauliza,"Alipungukiwa cd4 vipi wakati mimi niliona yale mambo yaliyotokea Mbezi? Ndiyo maana,pale Chato,siku Ile ya mazishi,Samia na wale wengine walikuwa wanamzuia yule Ansar Sunna asiongee maneno yale." Kwa hiyo hapa inakuwa kama vile kile keep fo kinasababishwa na hostility ya Waislamu, lakini ingawa nilimfanyia cross- examination,nilishindwa kupata hiyo connection.
KarmaAlichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.
Hii ndiyo msg yake.
Nitaongea mengi ya kusikitisha.
Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.
Ugomvi wao ulikuwa yule aliyekamatwa asipelekwe jela, kwa sababu akipelekwa jela watamuweka rumande.
Wao ni Waislamu.
Yule mtangazaji akaenda kutangaza kwenye television. Akatangaza kwamba mtu fulani alikuwa ameshuka cd4.
Yule mtu akatangaza yale mambo.
Cha kushangaza, akarudi tena,amevaa vile vile kama kwanza,akayatangaza tena yale mambo kwenye TV.
Video ilionyeshwa lakini sehemu zingine ziliondolewa ama sivyo zingewaletea watu tuhuma nzito.
Mimi nimewafanyia kazi lakini mpaka Leo sijalipwa. Sasa hii inakuwaje,kwa sababu mimi nilikopa hela.
Nilimwambia( jina limehifadhiwa) awashughulikie.
Kuna mtu aliepanda gari pale stendi ya Mbezi,wamtafute yule mtu.
Huyu ananiambia tukutane anieleze zaidi, lakini mi naona I have heard enough.
Karma haijawahi kosea inapita mlemle.Karma
inePenye miti hakuna wajenzi!, japo watoto wengi hupenda kufanya kazi za wazazi wao, kuna baadhi yetu ni different!.
Mimi mwenyewe nina watoto 9 na hakuna mwandishi habari wala mtangazaji!.
P
Yupo sahihiLakini hapa tumefikia critical point and I hope this fellow will be available for the next two or three days.
Kama anadhani aliwasaidia watu na anataka kuwapeksheni mifuko what is wrong with that?