kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Kwa hiyo mashoga wa Zanzibar ni wapemba na wa Dar es salaam ni wapemba?Wame-mention majina yao hao maana hata muda wa kuwasikiliza sina?
Unazungumzia mpemba Mbagala?ninao Mbezi huku wenye ndevu kama za huyo mvamia nyumba za watu za ibada ushangae mpemba kuonekana Mbagala?
Unakotoka hakuna jina ebu pataje ni wapi huko hakuna Waislamu.Mbona ninakotoka mimi kuna msikiti ambao waumini hawafiki 12 lakini upo tangu nazaliwa hadi leo nazeeka na haujawahi kufanyiwa hujuma yoyote?
Ninyi mnahisi mna uspesho gani hadi wengine wasiwe na haki kama nyie?shida yenu kubwa akili kisoda.
Ukichaa ni tusiKama kawaida yenu mkifumwa mnakimbilia matusi.
Huo muonekano wa huyo mkurayishi hapo unamuona huyo ni Mkristo?usikimbilie matusi hata mimi nayajua ni vile tu tumelelewa tofauti na ningeweza kuyatumia ila hekima yangu iko mbele.
Labda katupiwa majiniMtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi.
Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi.
===
Zanzibar
Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini Zanzibar na kufanya uharibifu wa mali kwa kushambulia sanamu zilizopo kanisani.
Baada ya kufanya uharibifu huo alikamatwa na kukaguliwa begi lake kukutwa vitambulsho ikiwemo cha Taasisi ya Kupambana na Rushwa Zanzibar Anti-Corruption and Economic Crimes Authority (ZAECA) . Alikuwa anapiga kelele amerogwa na kuonesha kama ana matatizo ya akili.
View attachment 2907034View attachment 2907035View attachment 2907036
Wame-mention majina yao hao maana hata muda wa kuwasikiliza sina?
Unazungumzia mpemba Mbagala?ninao Mbezi huku wenye ndevu kama za huyo mvamia nyumba za watu za ibada ushangae mpemba kuonekana Mbagala?
And vice versa....yesKwa hiyo na huo ushoga mnaousema uislamu ndio umewatuma?
Shida zenu mna chuki na uislamu
Likifanyika jema mnachonga likifanyika baya mnachonga
Ikiwa unataka kunielekeza kutoka kulia kurudi kushoto kama ulivyosomeshwa madras hunipati.Wewe ni mdogo ndio, una udogo wa akili na fikra
Shida namuelekeza mtu mwenye mfuniko wa shingo badala ya kichwa
Kuna club moja niliendaga mitaa ya mbweni (Zanzibar)aisee nikakuta mashoga wanasherehe yao wameunganisha meza kama sita hivi. Sikuamini nilichokua nakiona,niliondoka hata bia sikumalizaZanzibar Kuna vituko ushoga,usagaji yaani
Mungu akusamehe ndugu yangu akupe hekima na maarifa.Hilo sanamu yavunjwe mambo ya kuombewa ni ukafiri na uchawi kabisa..
Kila mtu ashinde mechi zake.
🚮🚮🚮Kwa hiyo mashoga wa Zanzibar ni wapemba na wa Dar es salaam ni wapemba?
Kama huna muda wa kuwasikikiza basi pita hivi maana wewe ni mbishi tu
Nimewaambia mniletee data zinazosema Zanzibar Kuna ushoga sana, mmeshindwa
Mungu yupi?IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Hata kama hakuna muumini mpemba kinawashinda nini kuyaacha?acha kutetea ujinga!!!Unakotoka hakuna jina ebu pataje ni wapi huko hakuna Waislamu.
Lakini huko Zanzibar hakuna Mzanzibar mkatoliki afadhali Anglikana wana waumini kidogo ndiyo wale kina Charles Hillary,Marehemu David Wakati na kina Jaji Augostino Ramadhani na wengine wachache lakini makanisa mengine wanaforce tu sasa matokeo yake watu wanatoka Tanganyika kila jumapili kwenda kusali Unguja.
Dr...
Cha ujinga, mnajitoa akilitu, mbona hamvunji mwezi na nyota amazili sio sanamu.IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Sasa kule kwenu! Kwenu Tanganyika ndiyo maana wenye nchi yao hawawataki wanaona mnawaletea gozi gozi tu.Hata kama hakuna muumini mpemba kinawashinda nini kuyaacha?acha kutetea ujinga!!!
Yanakuumizeni kitu gani?hivi wewe inakuingia akilini wewe ujenge nyumba yako kwenye kiwanja chako na kwa hela zako halafu mimi from no where nije kukuvunjia?unaniona nikiwa na akili timamu hapo?