njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA
Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku halmashauri ya Wilaya ya Nanyamba mkoani Mtwara, Andrew Mathew akichangia mada ya unyanyasaji wa kijinsia katika mafunzo yanayoendelea mjini Nanyanba.
Source #WasafiDigital
π π π π π π π π π πNina rafiki yangu huko huko bila shaka ni bingwa wa kuruka uchur yule jamaaa mana kutwa miguu inamuuma ni uchura tu ule
Wanaelezea ujinga wao.Stupids!WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA
Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku halmashauri ya Wilaya ya Nanyamba mkoani Mtwara, Andrew Mathew akichangia mada ya unyanyasaji wa kijinsia katika mafunzo yanayoendelea mjini Nanyanba.
Source Wasafi Digital
Aaaah Mufindi baaba. View attachment 2684164
πππππNina rafiki yangu huko huko bila shaka ni bingwa wa kuruka uchur yule jamaaa mana kutwa miguu inamuuma ni uchura tu ule
Hawana pesaWANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA
Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku halmashauri ya Wilaya ya Nanyamba mkoani Mtwara, Andrew Mathew akichangia mada ya unyanyasaji wa kijinsia katika mafunzo yanayoendelea mjini Nanyanba.
Source Wasafi Digital
Anataka niniSasa unakuta mtu kila.akikuona tu anataka π€
πππππ
Ahsanteni kwa kuibariki 'jeeoni yangu'..!!
Asee hata uki rape ukifikishwa kortini tutaanzisha petition uachiwe huruMkaldayo Halafu utakuta hao wanawake wabayaaa.
Maamae sirukishwi kichurachura na demu. I will violently rape her.
Hao madume huko wala hawana habari ya bandari [emoji1]
Wao ni mbunye tu
Ova
πππππBora wapunguze vitambi
Kumbe ntasikia mengi