Mtwara: Wanaume walalamika kurukishwa kichurachura ili wapewe tendo la ndoa

WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA

Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku halmashauri ya Wilaya ya Nanyamba mkoani Mtwara, Andrew Mathew akichangia mada ya unyanyasaji wa kijinsia katika mafunzo yanayoendelea mjini Nanyanba.

Source Wasafi Digital
hiki kitu kinawezekana kweli? hawa wanaume hawako serious kabisa haiwezekani nasema haiwezekani mwanamke kukuifanyia kitu kama hicho ukakubali na wewe unaanza kurukaruka kweli ili upewe mbususu
 
Hizo mashine zinachosha sana, kuna time tunachukua break
Tatizo siku hizi Wanawake mnamiliki mashine nyingi sana hadi zinawashinda kuzisafisha, Vikoba vitawauwa msipojirekebisha!!
 
WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA

Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku halmashauri ya Wilaya ya Nanyamba mkoani Mtwara, Andrew Mathew akichangia mada ya unyanyasaji wa kijinsia katika mafunzo yanayoendelea mjini Nanyanba.

Source Wasafi Digital
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Screenshot_20230713-112240.jpg
 
Back
Top Bottom