Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Nimetafuta wapi " Airbase" au ndege za Israel zimeshambuliwa na kuchakazwa, sijaona.
 
Nimetafuta wapi " Airbase" au ndege za Israel zimeshambuliwa na kuchakazwa, sijaona.
Kuna mashambulizi mawili.
Mashambulizi ya jumapili ndio yalilipua run way za ndege za kivita za Israel.
Mashambulizi ya sasa bado hayajafahamika madhara yake ila usiku kucha walishambulia kuamkia leo.
Hiyo picha ya jumapili palivyoshambuliwa kabla Al-Jazeera hawajafungiwa.
Shambulio la awamu hii bado halijatolewa ushahidi kamili wa maafa na paliposhambuliwa.
Tusubiri taarifa zaidi
 
Hapa hizbullah walicheza kama pelle
 
Mkuu nadhani humu unaongea chochote bila kujua .
Uwanja uliopigwa ni 1 tu Tena ni sehemu ya uwanja sio wote.


Hizo juu ni picha za viwanja vya ndege vya jeshi la anga la Israel. Sio kimoja sasa sijajua hizo ndege unazosema wewe kwenda kutua kisiwani wapi?
 
Lebanon wanaruhusu vyombo vya habari kuchukua matukio bila kipingamizi lakini Israel anaficha maafa kwa aibu ndiyo maana unasikia anaifungia Al Jazeera kurusha matangazo.
Kama Israel inazuia media kuripoti matukio kwahyo raia wote waliopo kwenye hilo tukio hawana simu au camera za kurekodi? Hiyo Al Jazeera ipo against Israel sikuzote hakuna kipya
 
Na mimi nakataa haujapigwa uwanja mmoja vimepigwa viwanja kadha wa kadha taarifa tunazo
 
Mm sijawai sikia kuona kwa macho kupitia media, Lebanon wanazuiya kuonekana majanga yao lkn ni Israel ndio wanazuiya bila aibu mchaana kweupe lkn awa mashabiki wa uko mwavunga na kwamapalamba bila aibu wakijivua nguo mchana kuwadai wenzao ushaidi wkt wanajua wajomba zao kule wanaficha aibu zao. Wanataka watu waandelea kuamini wao ni majitu ayapigiki wala awafi kwa boom kama wengine!! piga boom yy anatoka uku anavuta sigara anafuta vumbi anaondoka😆😆😆
 
Kama Israel inazuia media kuripoti matukio kwahyo raia wote waliopo kwenye hilo tukio hawana simu au camera za kurekodi? Hiyo Al Jazeera ipo against Israel sikuzote hakuna kipya
Kwahiyo raia wa Israel anayezuiwa na serikali yake kusambaza madhara ya makombora kwa vitisho unadhani atafanya hivyo?

Ukiona Mazayuni yanakiri madhara fulani basi zidisha mara kumi ndiyo madhara halisi kwasababu ni kawaida kwa mataifa ya mashog,a kuendekeza propaganda kuliko uhalisia.
 
Ishindwe kwajina la yesu,,kila inchi ikomae kimpango wake tuliingizwa vitani cuz tulikuwa koloni lao wakivianzisha watadundana wenye kwa wenyewe si tunawacheki tu huku tunakula magimbi Kama ya kwenye daku kipindi Cha ramadhani
 
Kama Israel inazuia media kuripoti matukio kwahyo raia wote waliopo kwenye hilo tukio hawana simu au camera za kurekodi? Hiyo Al Jazeera ipo against Israel sikuzote hakuna kipya
Wakati Iran alipoichakaza vibaya kambi ya Marekani pale Iraq mwanzoni Marekani olosema hakuna madhara kwa askari wake lakini baadae wakaanza kukiri kidogo kidogo kwamba baadhi ya wanajeshi wake wamepatwa na athari hadi walipokuja kukiri madhara halisi.

Iran aliivurumishia mvua ya drones na missiles Israel na kuleta madhara ya moja kwa moja kwa kambi za jeshi za Israel lakini Mazayuni mwanzoni walikana madhara ila baadae wakakiri namna vyuma vya Muajemi vilivyoleta athari.
 
Kazi kipimo cha utu kana yupo ambaye mpakasasa ajui kuwa media zinabanwa uko upande wa pili au anaamuatua kujivua nguo kutaka ushaidi apo ndio utajua watu wanaojadiliana umu ni types zipi. Anadai kitu uku anajua uyu mwenzie awezi kuwanacho mana kimepigwa narufuku na sheria zao za vita.
 
Kambi ipi ya Israel ilishambuliwa? Weka ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…