Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ziko masjid wana edit kwanza.Israel akipiga tunaona video na picha!
Nyie video na picha ziko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziko masjid wana edit kwanza.Israel akipiga tunaona video na picha!
Nyie video na picha ziko wapi?
Lebanon wanaruhusu vyombo vya habari kuchukua matukio bila kipingamizi lakini Israel anaficha maafa kwa aibu ndiyo maana unasikia anaifungia Al Jazeera kurusha matangazo.Israel akipiga tunaona video na picha!
Nyie video na picha ziko wapi?
Nimetafuta wapi " Airbase" au ndege za Israel zimeshambuliwa na kuchakazwa, sijaona."Hizbollah imefanya mashambulizi kadhaa ya maroketi SIKU MOJA BAADA YA SHAMBULIZI LA ISRAEL".
Inamaana siku moja baada ya Israel kushambulia Lebanon na kuua watu wapatao 500 nayo Hizbollah ikafanya mashambulizi.
Na hayo mashambulizi yalifanyika usiku wa manane kuamkia leo.
Inamaana ni siku imeshapita.
Embu tafsiri vizuri kaka.
Kuna mashambulizi mawili.Nimetafuta wapi " Airbase" au ndege za Israel zimeshambuliwa na kuchakazwa, sijaona.
Lebanon inao wakristo wengi kuliko Gaza na Israel yenyewe, kwa hiyo elewa kabisa, hii siyo vita ya kidiniUnashabikia vifo kwa sababu za kidini ,ambapo hiyo dini inakutaka usiue pia uwe na upendo , ndio maana huwa nawaona mnao amini uwepo wa Mungu ni matakataka🚮
Dunia ipi inajua kwa sababu taifa la palestina halijawahi kuwepo? Hata kwenye qoroan
Kabisa ila palestina wana haki 100%Lebanon inao wakristo wengi kuliko Gaza na Israel yenyewe, kwa hiyo elewa kabisa, hii siyo vita ya kidini
Hapa hizbullah walicheza kama pelleChina amewataka raia wake waondoke haraka Israeli,Kwa Nini hakuwataka waondoke Lebanon?,kipi anachikijua kitakachofatia Israeli?
Ile vita Kule mda flani ni Kama maigizo hivi, Hezbollah wananikosha,ndege zikondoka kwenda kushambulia,zikirudi zinakuta ule uwanja ushabomolewa wanaenda kutua syprus Kwa dharula🤣🤣🤣
Mkuu nadhani humu unaongea chochote bila kujua .China amewataka raia wake waondoke haraka Israeli,Kwa Nini hakuwataka waondoke Lebanon?,kipi anachikijua kitakachofatia Israeli?
Ile vita Kule mda flani ni Kama maigizo hivi, Hezbollah wananikosha,ndege zikondoka kwenda kushambulia,zikirudi zinakuta ule uwanja ushabomolewa wanaenda kutua syprus Kwa dharula🤣🤣🤣
Kama Israel inazuia media kuripoti matukio kwahyo raia wote waliopo kwenye hilo tukio hawana simu au camera za kurekodi? Hiyo Al Jazeera ipo against Israel sikuzote hakuna kipyaLebanon wanaruhusu vyombo vya habari kuchukua matukio bila kipingamizi lakini Israel anaficha maafa kwa aibu ndiyo maana unasikia anaifungia Al Jazeera kurusha matangazo.
Na mimi nakataa haujapigwa uwanja mmoja vimepigwa viwanja kadha wa kadha taarifa tunazoMkuu nadhani humu unaongea chochote bila kujua .
Uwanja uliopigwa ni 1 tu Tena ni sehemu ya uwanja sio wote.
View attachment 3105266View attachment 3105267
Hizo juu ni picha za viwanja vya ndege vya jeshi la anga la Israel. Sio kimoja sasa sijajua hizo ndege unazosema wewe kwenda kutua kisiwani wapi?
Kwahiyo raia wa Israel anayezuiwa na serikali yake kusambaza madhara ya makombora kwa vitisho unadhani atafanya hivyo?Kama Israel inazuia media kuripoti matukio kwahyo raia wote waliopo kwenye hilo tukio hawana simu au camera za kurekodi? Hiyo Al Jazeera ipo against Israel sikuzote hakuna kipya
Wazitoe wapi!Israel akipiga tunaona video na picha!
Nyie video na picha ziko wapi?
Wazitoe wapi!Israel akipiga tunaona video na picha!
Nyie video na picha ziko wapi?
Wakati Iran alipoichakaza vibaya kambi ya Marekani pale Iraq mwanzoni Marekani olosema hakuna madhara kwa askari wake lakini baadae wakaanza kukiri kidogo kidogo kwamba baadhi ya wanajeshi wake wamepatwa na athari hadi walipokuja kukiri madhara halisi.Kama Israel inazuia media kuripoti matukio kwahyo raia wote waliopo kwenye hilo tukio hawana simu au camera za kurekodi? Hiyo Al Jazeera ipo against Israel sikuzote hakuna kipya
Iron dome zinaundwa pale pale Israel.Mkuu ironed dome zinatengenezwa
northwest arkansas USA.
Mimi ndivyo navyojua.
Kambi ipi ya Israel ilishambuliwa? Weka ushahidiWakati Iran alipoichakaza vibaya kambi ya Marekani pale Iraq mwanzoni Marekani olosema hakuna madhara kwa askari wake lakini baadae wakaanza kukiri kidogo kidogo kwamba baadhi ya wanajeshi wake wamepatwa na athari hadi walipokuja kukiri madhara halisi.
Iran aliivurumishia mvua ya drones na missiles Israel na kuleta madhara ya moja kwa moja kwa kambi za jeshi za Israel lakini Mazayuni mwanzoni walikana madhara ila baadae wakakiri namna vyuma vya Muajemi vilivyoleta athari.