Muda wowote kuanzia sasa huenda kikanuka, jaza mahitaji muhimu sasa usisubiri mpaka tarehe 8 December

Na sisi wazee wa kununua bidhaa za Riverside tufanyeje?🙃
 
M
Tahadhari ni muhimu,

Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.

Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,

Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna wauzaji wana tamaa soon wataanza kuuza kwa bei ya juu kabla hata hiyo lockdown haijafika.

Kama ni gesi nunua ya kutosha,

Acha kupiga stori barabarani na watu usio wajua ,na hata pia unaowajua ila sio kivile chuja maongezi yako usioneshe interest yako kwamba upo upande gani.

Kama wewe ni mpenda starehe nunua vinywaji vyako pendwa vya kutosha angalau kreti 30 weka ndani.

Kama mvuta shisha nunua fleva ya kutosha angalau box 5 kubwa .

Mambo yamebadilika jiandae sasa usingoje mpaka kinuke ,

Huenda jambo likaanza hata kabla ya mwezi wa 12 haujafika.

Jichunge na uchunge unaowapenda .
Mie nishajiandaa nina debe tatu za unga ndani, maharage na dagaa wa kutosha, gesi, mafuta ya kupikia
Pia nna kilo 10 za bange ndani pamoja na lita 60 za mafuta ya petroli
 
Tahadhari ni muhimu,

Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.

Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,

Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna wauzaji wana tamaa soon wataanza kuuza kwa bei ya juu kabla hata hiyo lockdown haijafika.

Kama ni gesi nunua ya kutosha,

Acha kupiga stori barabarani na watu usio wajua ,na hata pia unaowajua ila sio kivile chuja maongezi yako usioneshe interest yako kwamba upo upande gani.

Kama wewe ni mpenda starehe nunua vinywaji vyako pendwa vya kutosha angalau kreti 30 weka ndani.

Kama mvuta shisha nunua fleva ya kutosha angalau box 5 kubwa .

Mambo yamebadilika jiandae sasa usingoje mpaka kinuke ,

Huenda jambo likaanza hata kabla ya mwezi wa 12 haujafika.

Jichunge na uchunge unaowapenda .
Itakua siku ya kawaida kabisa tafauti yake ni kwamba sku ya dec 9 kila mtu atapewa amri ya kukaa ndan
 
Tahadhari ni muhimu,

Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.

Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,

Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna wauzaji wana tamaa soon wataanza kuuza kwa bei ya juu kabla hata hiyo lockdown haijafika.

Kama ni gesi nunua ya kutosha,

Acha kupiga stori barabarani na watu usio wajua ,na hata pia unaowajua ila sio kivile chuja maongezi yako usioneshe interest yako kwamba upo upande gani.

Kama wewe ni mpenda starehe nunua vinywaji vyako pendwa vya kutosha angalau kreti 30 weka ndani.

Kama mvuta shisha nunua fleva ya kutosha angalau box 5 kubwa .

Mambo yamebadilika jiandae sasa usingoje mpaka kinuke ,

Huenda jambo likaanza hata kabla ya mwezi wa 12 haujafika.

Jichunge na uchunge unaowapenda .
Nikionaga nyuzi zako nowadays nasomaga kwa utulivu kabisa[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
AAh wasubiri kwanza wengine tunanunua jumapili
Tarehe 5 tunanunua tusavanna na kreti la Mr
Kuna mdau kasema tutafute karata nmemuelewa😆...
Yani hata wakisema tutembee hatutembei hatutaki mitego tunatulia ndani wiki nzima likizo fupi
 
Mjinga sana huyo. Anacheza jembe na kulamba mavi. Huyo anapiga house girl hata sasa
 
Wakukinukisha wengi walifariki tarehe 29 and 30 october, na huo ndio ukweli. Tuliobaki ni watu wa mtandaoni
 
Back
Top Bottom