DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Mkuu hapa ni kama anawashauri wazee sana ambao pia ni walevi sana.... Ndo maana hapa anasisitiza vitu viwiliMkuu ni aina gani ya watu unaowashauri wafanye hayo?
D9 inahitaji 'movement' ya kitaifa na siyo watu kujifungia ndani kama mijusi.
Wadhani ukijifungia ndani itasaidia na hautafuatwa?
Utafuatwa, tena Polisi akiwa na mjumbe wa nyumba 10 kama sheria inavyotaka, akishakukukamata hautakuja kurejea kwako milele, kaa ukijidanganya sasa!
Hali iliyopo hivi sasa inamhusu kila mmoja wetu na si kwa kundi fulani tu katika jamii, hapana.
KUKAA NDANI kwa kuwa ni wazee sana
hawawezi kuandamana.
KUNUNUA POMBE NYINGI SANA kwa sababu ni walevi sana kwa hiyo wanunue pombe nyingi sana.