Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Wananchi wameshakataa wao wanalazimisha nini?ni aibu sana viongozi wetu kuangalia maslahi yao zaidi,ajabu ni kwamba wanaopinga jinsi walivyochambua mkataba wana akili zaidi kuliko viongozi
 
sisi tunapowakataa wenzetu wanawakimbilia
 
Mpaka hatua hii hatufai kuwa msimamizi wa rasimali zetu! Ili jambo ni lake na ndiyo maana wakina Lissu wakisema anapaswa kuwajibika maana mle ndani kuna sahihi yake! Asingeweka sahihi yake mle ndani angemtoa mtu kafara mambo yaende! Lakini kitendo cha yeye kuweka sahihi ni sawa tuseme yeye mwenyewe hajui vitu gan anasaini na hana umakini wowote katika kazi zake.
 
We lusungo ikiwa na vyanzo ktk chama tawala mimi ntakuwa na balozi binafsi ikulu.
 
Kenge hafi hadi damu zimtoke masikioni. Acha aendelee kujidanganya na wale wajinga wengine wanaosema anapingwa kwa sababu ya dini au uzanzibari.
 
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!

Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Chawa wataandamana kumpongeza
 
Kuna clip nimeona Kikwete anasema "..wajiulize je walikosea au hawakukosea, kama walikosea kuna ubaya gani kusahihisha makosa?"
 
Kuna clip nimeona Kikwete anasema "..wajiulize je walikosea au hawakukosea, kama walikosea kuna ubaya gani kusahihisha makosa?"
Yupo sahihi maana hapo hakuna msahafu kusema hakuna kinachoweza kurekebishwa.
 
Haya

Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela [emoji1][emoji1][emoji23][emoji91]
Siyo kupitia mikataba ya hovyo na kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…