Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Haya

Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela 😄😄😂🔥
Hiyo CRDB TUNAYOTA SI YA NAMNA HIYO. Acha tundundulize na TIB YETU LAKINI TUBAKI SALAMA.
 
Elewa kwamba mpaka sasa HGA na IGA na BIT ni vitu tofauti Mimi sijui kama Kuna BIT between UAE na Tanzania. Hizi kesi zote Tanzania inazoshindwa ni za BIT . BIT ni mkataba general kati ya nchi moja na nyingine ili kulinda wananchi wa hizo nchi mbili kama wakiweza baina yao.Hili la DPW sielewi ni nini??na wameshindwa kufafanua huo ni mkataba wa aina gani
 
Te
Tetesi hubakia kuwa tetesi hadi litokee

Napinga mkataba wa hovyo wa DPW na serikali yetu
 
Haya

Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela [emoji1][emoji1][emoji23][emoji91]

Kwani ulidhani ni hela zako hizo! Kalagha baho utaishia kuwa maskini kwa hela ambazo siyo zako!
 
Wewe ndo umekuja kuchanganya kabisa na BIT HGA na IGA, bila kufafanua zaidi kutoka kwenye technical language kwa common language hutakua hujafanya lolote.
 
Umeharibu kila kitu na huo mstari wa mwisho.
Tabia za kinafiki kabisa za baadhi ya waTanzania.

Mtu mharibifu mwenyewe, utaanzia wapi kumpongeza kwa uharibifu alionuia kulifanyia taifa?

Pamoja na hayo mengine uliyoandika hapa, ombeni sana CHADEMA wawe vilaza wa karne hii wakishindwa kuchukua madaraka safari hii.
Hata hao wakishindwa, bado nina imani ndani ya CCM yenyewe, haiwezi kuendelea na uozo iliyoufikia hadi hapa ilipotufikisha.
Hawa waliotafuta kutuuza wote ni lazima wapishe.
 
Kuchutama ni muhimu kutokana na matakwa ya wakati.
 
Wewe ndo umekuja kuchanganya kabisa na BIT HGA na IGA, bila kufafanua zaidi kutoka kwenye technical language kwa common language hutakua hujafanya lolote.
Kifupi kesi zote Tanzania inashindwa sasa ni za BIT na hazihusiani na mkataba wa DPW
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walifikiri Watanzania watapiga kelele siku mbili tatu na kunyamaza kama ilivyokuwa ngorongoro?

Kila kukicha jambo linazidi kuwa jipya!

Hatimaye anaenda kutema bungo
 
Tatizo halipo kwa mama bali ni kikundi cha sukuma gang kina muingiza kwenye matatizo makusudi ili mwaka 2025 akataliwe
Kumbe sukuma gang bado ina nguvu ee?

Basi 2025 ajiandae kurudi jambiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…