Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

Mungu huwa anasumbuliwa kwani ni binadamu ama mnyama?!!!🤣
 
Unatangulia mbele ya wakati tulioko....kwani amesema akishaomba tu ni lazima mvua inyeshe?!!!

Hivi wewe/mimi/wengine tunaomba mengi mangapi na bado tu tuko njiani kuyasubiria?!!!
 
Unataka kuwafanya viongozi wa DINI ni masakala eee?!!!

Kwani wanaipinga sayansi?!!!

Iweje waipinge sayansi huku wakitumia simu,vipaza sauti ,maspika kufikisha jumbe MBALIMBALI?!!!

Viongozi wa DINI huipinga sayansi yenye kwenda kinyume na kanuni za maumbile na yenye kuleta "nakama" na hiliki kwa binadamu na viumbe tu......

Siempre JMT
Kazi Iendelee
 
Hivi mvua kunyesha ni muujiza, hao wenye muujiza ili tuone muujiza waiombe nchi, barabara zote ambazo hazina lami tumka tukute zina lami bila ushiriki wa mtu kujenga.

Ila kuomba kitu ambacho kinatokea kikitokea ni kawaida tu.
Mvua kunyesha bila dalili ni muujiza.
Miujiza unayohitaji kiimani ni kumjaribu Bwana Mungu wako, hauna tofauti na shetani alivyo mtaka Yesu ayageuze mawe yawe mkate.
 
Mufti, utanisamehe, nisamehe sana kwa lugha kali, acha ujinga! Wewe na "wapuuzi" wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!

Najua natumia lugha kali, lkn ndiyo inayosahili
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Nchi za kiisilamu ndizo zinaongoza kwa ukame na majangwa.
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Haya maombi yalipaswa kufanyika mapema tangu TMA walipotangaza kuwa kutakuwa na hali mbaya ya ukame
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Aisee..
 
Kuoa mtoto wa miaka 9
Mbona nyinyi mnakua na chuki na uislamu ivo embu mfuate anaeujua Uislamu akuelezee hilo suala physically
Leo hii report ya Padre ilivotoka ya mapastor kuwalawiti vitoto vidogo waislamu wala hawajaongea sasa ingekua upande ulee heheheeee dunia nzima kungekua na zogo

We kama huamini Uislamu basi acha chuki nao
 
Siyo chuki Chief, kwani ni uongo hakuoa mtoto wa miaka 9? Kulawiti ni uchafu binafsi wa mtu, haina uhusiano na cheo chake (Awe Padre, Pastor, Askofu or Shehe)
 
Waache unafiki tawi la ccm..kama wana nguvu waombe mvua dodoma kipindi cha kiangazi.
Kifupi wewe akili huna kipindi Cha kiangazi huwa kipindi Cha kuvuna mazao yaliyokomaa kwa hiyo unataka waombe mvua inyeshee mazao yaliyokomaa ya kuvunwa yaharibike? Akili huna hata ya kawaida tu
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Acha uchochezi wa kidini, wewee
 
Siyo chuki Chief, kwani ni uongo hakuoa mtoto wa miaka 9? Kulawiti ni uchafu binafsi wa mtu, haina uhusiano na cheo chake (Awe Padre, Pastor, Askofu or Shehe)
Basi tuseme bora yy alieoa

ivi leo hii uko mtaani watoto wangapi wanapewa ujauzito ata walowapa hizo mimba hawajulikani?
Watoto wangapi wanazalilishwa huko mitaani?

Nijibu na hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…