Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

Nchi hii yenye MAZIWA MAKUU MATATU ..

Sisi sio mpaka tuombee Mvua inyeshe ,ndo Dar iwe na maji

Watu Wapo Mikoa inayopatikana na Maziwa, lkn Bado suala la Maji limekua Shida , Saizi kila uchwao, ni Ratiba za maji tuu.

AFRIKA, HATUHITAJI MAOMBI YA MVUA TUNAHITAJ MAOMBI KUPATA VIONGOZI WENYE AKILI ,WABUNIFU, WENYE KUJALI RAIA .

KUPIGA MAGOTI KUOMBEA MVUA, WAKATI HUO TUNAENDELEA KUA NA VIONGOZI WAJINGA , HAKUWEZI KUTUSAIDIA..

CHINA, WANAABUDU MIUNGU YAO, LKN CHINA, WANALIMA, CHINA HAMNA SHIDA YA MAJI, WACHINA SAIZI "WAMEJENGA MRADI MKUBWA WA MAJI KULIKO YOTE HAPA DUNIANI".

MAMBO MENGINE, NI KUMSUMBUA MUUMBA MBINGU NA ARDHI.
Mungu huwa anasumbuliwa kwani ni binadamu ama mnyama?!!!🤣
 
Ingekuwa dua inafanya kazi hivyo, mbona uarabuni kusingekuwa na jangwa

Tumechoka na vimbwanga saizi tunataka wakiomba hiyo dua watutajie na tarehe na mwezi kabisa ambao Mungu wao kawaahidi mvua ataishusha ili ikitokea haijanyesha tujue ni uwongo

Hizi habari za kusema tunafanya dua mvua inyeshe na unaelewa kabisa kua tuko ukingoni mwa kiangazi tumekikaribia kifuku na ni wazi kabisa kua kifuku ni season ya mvua, kutuambia mvua imenyesha kwasababu ya dua yako huko ni kututapeli kizungu
Unatangulia mbele ya wakati tulioko....kwani amesema akishaomba tu ni lazima mvua inyeshe?!!!

Hivi wewe/mimi/wengine tunaomba mengi mangapi na bado tu tuko njiani kuyasubiria?!!!
 
Hayo maombi yangeelekezwa kwenye Corona ingekuwa kheri badala yake wanaamini Sayansi.
Kwenye Mvua wanasema Twende kwa Mungu

Hawa hawa waliochoma chanjo ya Corona kuogopa kifo wanataka kuongoza maombi ya Mvua
Kama Chanjo mpango wa shetan haya maombi yatajibiwa yanayoongozwa na wachoma chanjo.

Raisi yeye anaamini Sayansi
Unataka kuwafanya viongozi wa DINI ni masakala eee?!!!

Kwani wanaipinga sayansi?!!!

Iweje waipinge sayansi huku wakitumia simu,vipaza sauti ,maspika kufikisha jumbe MBALIMBALI?!!!

Viongozi wa DINI huipinga sayansi yenye kwenda kinyume na kanuni za maumbile na yenye kuleta "nakama" na hiliki kwa binadamu na viumbe tu......

Siempre JMT
Kazi Iendelee
 
Hivi mvua kunyesha ni muujiza, hao wenye muujiza ili tuone muujiza waiombe nchi, barabara zote ambazo hazina lami tumka tukute zina lami bila ushiriki wa mtu kujenga.

Ila kuomba kitu ambacho kinatokea kikitokea ni kawaida tu.
Mvua kunyesha bila dalili ni muujiza.
Miujiza unayohitaji kiimani ni kumjaribu Bwana Mungu wako, hauna tofauti na shetani alivyo mtaka Yesu ayageuze mawe yawe mkate.
 
Mufti, utanisamehe, nisamehe sana kwa lugha kali, acha ujinga! Wewe na "wapuuzi" wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!

Najua natumia lugha kali, lkn ndiyo inayosahili
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Nchi za kiisilamu ndizo zinaongoza kwa ukame na majangwa.
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Haya maombi yalipaswa kufanyika mapema tangu TMA walipotangaza kuwa kutakuwa na hali mbaya ya ukame
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Aisee..
 
Kuoa mtoto wa miaka 9
Mbona nyinyi mnakua na chuki na uislamu ivo embu mfuate anaeujua Uislamu akuelezee hilo suala physically
Leo hii report ya Padre ilivotoka ya mapastor kuwalawiti vitoto vidogo waislamu wala hawajaongea sasa ingekua upande ulee heheheeee dunia nzima kungekua na zogo

We kama huamini Uislamu basi acha chuki nao
 
Siyo chuki Chief, kwani ni uongo hakuoa mtoto wa miaka 9? Kulawiti ni uchafu binafsi wa mtu, haina uhusiano na cheo chake (Awe Padre, Pastor, Askofu or Shehe)
 
Waache unafiki tawi la ccm..kama wana nguvu waombe mvua dodoma kipindi cha kiangazi.
Kifupi wewe akili huna kipindi Cha kiangazi huwa kipindi Cha kuvuna mazao yaliyokomaa kwa hiyo unataka waombe mvua inyeshee mazao yaliyokomaa ya kuvunwa yaharibike? Akili huna hata ya kawaida tu
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Acha uchochezi wa kidini, wewee
 
Siyo chuki Chief, kwani ni uongo hakuoa mtoto wa miaka 9? Kulawiti ni uchafu binafsi wa mtu, haina uhusiano na cheo chake (Awe Padre, Pastor, Askofu or Shehe)
Basi tuseme bora yy alieoa

ivi leo hii uko mtaani watoto wangapi wanapewa ujauzito ata walowapa hizo mimba hawajulikani?
Watoto wangapi wanazalilishwa huko mitaani?

Nijibu na hili
 
Back
Top Bottom