Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Makadirio yanakuwa based kwenye percentage, unaweza kuniambia hiyo siku TMA iliweka asilimia ngapi ya uwezekano wa mvua kunyesha?Ni TMA hiyohiyo iliyotuambia mvua chache zingeanza takribani wiki chache zilizopita.........je zimenyesha?!!!
Unazunguka sana kwani hayuko binadamu mfanya MIUJIZA....bali binadamu humwomba Mungu Mwenyezi kuifanya hiyo miujiza........
Mungu Mwenyezi huombwa hata kupitia dini za jadi na matambiko na akitaka hutekeleza hayo maombi.......