Aliekwambia kutoa ni utakiri nani,nyie endeleeni kujiita matajiri kumbe wabangaizaji mkanunue hiko kimashine serikali haina dini
 
Nimeacha kusoma uliposema leo Jumanne....
 
Huyu mufti naye ni kilaza tu kama walivyo masada wengi wa chama cha mambuzi
 
Hiyo darubini inauzwa bilioni ngapi hata BKWATA na wadau wao wa maendeleo wameshindwa Kununua?
 
🤣🤣🤣🤣Si wajichangishe huko misikitini
 
Waislamu ndo madoni wa TZ wanashindwaje Kununua kitu kidogo kama hicho.

MO,GSM, BAKRESA, MSOGA,.MWIGULU etc etc
Kuomba ni tabia ya kimazoea inayosababishwa na vitu vingi - athari za kisaikolojia, na makuzi na malezi ya mwombaji

Ila for sure Mufti si mtu wa kuomba vitu vidogo vidogo namna hii
 
Ni sahihi lkn kanisa halikuomba kujengewa - RC akiomba msaada wa tzs 20M serikalini lzm nihoji uwezo wa kifkra wa Cardinal Pengo na wasaidizi
Kule Geita Serikal iliahidi kuchangia gharama za kununua kile kifaa cha tsh 20 milioni kilichovunjwavunjwa na yule mvamizi ndani ya Kanisa Katoliki la mitume!
 
Sioni ubaya kwenye ombi la mufti. Chombo hicho kinaweza kununuliwa na Serikali. Na kikawa chini ya mamlaka ya hali ya hewa. Na waislam wakakitumia kwa mahitaji yao ya kiimani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!!
 

Yaani serikali ishiriki ushirikina wa kuabudu mwezi?!, kuweni na adabu kwa waTz wenzenu! Hee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…