- Thread starter
- #61
Mawazo kama yako ni hatari na yenye ubinafsi mkubwa. Unaonaje kama wangejifunzia kwako? Au ni mkuki kwa nguruwe tu? By the way beberu ni nani? Au ni yeyote aliyekutangulia hata kwa ujuzi tu?Mabeberu adii lini kwenye mambo yetu brazaj, ? ifikie hatua basi ya kufrahia juhudi zetu ata kidogo.
Hata kama mmoja kafariki ila mhimbili wamefanya kitu. Na pia wamejifunza