Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Hako kamchezo kakutishiana bar nakachukia sana. Pale tunaenda kunywa hatunywi kahawa tunakunywa pombe huwa najiuliza why mtu anaenda na silaha?Hizi silaha wakati mwingine inakosekana hata maana ya kumilikisha watu.
Hawajihami dhidi ya majambazi wala vibaka,ni kutishia walevi bar na barabarani,kujiua wenyewe ama kama hivi.
How? Kwa Sheria zipi? Nafikiri Pana sababu zaidi ya hiziInasemekana Mwanamke alikuwa anataka malinzote za mumewe ziwe kwa jina lake,
😂😂😂Hizi nyumba hizi acha tu nahisi malaika wa zamu kulinda duniani kila siku huwa wanajionea mengi sana ya ajabu na kutusikitikia tu.... Kuna vitu vinachemka kwenye mioyo na nyumba za watu hasa wana ndoa, usione tu nyumba zimeezekwa kwa mabati mazuri zimefunika mambo mazito mno ndani, usione watu wana vifua vikubwa (six pack) au nyonyo kubwa ukajua wanafanya mazoezi gym au wamenenepa, kumbe wamebeba mambo mazito vifuani mwao mpaka wanataka kupasuka..
Ndo mana mm Nmeamua kuwa mpiga nyeto, mambo ya kuumizana kisa nyapu sitakiOooh inasikitisha sana kwa kuukatisha uhai wa mtu.
Kunawakati dunia inasononesha sana kila kukicha na shida kubwa ni kuwa wapo watu hawakubali kuwa wao ni wafu watarajiwa.
Ki ubinadam tu,jombaa kafanya tukio hilo kutokana na hasira tofauti na hapo HAKUNA,lakini kwanini AMEUA?
Sawa,
Je,kwanini alishika siraha akiwa na hasira?
Ingalikuwa huenda mimi ni hakimu wa kesi yake wallah ningeenda pale sijui ndio ofisini kwake kiwa nimebebelea mzinga wa NYAGI kwa sababu ningetoa hukumu bila huruma.
Hili kosa ni moja kati ya makosa yanayofikirisha sana.Kisa ndoa?,kwahiyo tusioane au?
Brother Mbaga Jr inasikitisha sana jombaa,imagine mtu slafia kifungoni kisa nyuchi Ingawa haya maneno yako yamenifikirisha kiasi👇.
Unataka kusema sisi(tisionachakupoteza)panatufaa au ni vile tumekata tamaa na maisha🤔?
Zaidi ya zaidi dear Mallerina unakumbuka post ya yule dada.isije ikawa ndio huyu alikuwa aking’ang’ania kuondoka kweye nyumba mzee baba akaona sio vibaya atumie trigger.
Yote ya yote ikifika hatu watu mkishindwana ni vyema muachane kwa wema.
Imagine sumu wanazoziweka katika mioyo yao hao watoto zinawingi ujazo gani?
Haya au tuseme wale watu laana ya kumwaga damu za waTanganyika inawarudia wao wenyewe🤔?
Baada ya hapo niishie kusema nimegundua uzuri na ubaya wa ndoa unasababidhwa na wanandoa wenyewe,kwa uelewa wangu.
Dominomoja ikidondoshwa na nyingine zinafuata.
Huyu Baba kwa kumtazama tu unagundua ana shida mahali, yaan ile ukimuangalia kwa umakini, unagundua hayuko sawa sehemu.
Ninamfahamu Pia ,Dah niliona twitter, jamaa namfaham aisee hali ni mbaya, ni bora kuachana haraka sana ukiona tofauti yoyote.
Yeah nasikia ni issue za helaNinamfahamu Pia ,
Nikieleza zaidi Zitaanza Hoja za kikabila na Ukanda .
Kifedha Yupo Vizuri Since wayback
Acha masihara,kuwa seriously kidogo unyettuke na mdada anayekufaa😂.Ndo mana mm Nmeamua kuwa mpiga nyeto, mambo ya kuumizana kisa nyapu sitaki
Hao watoto Watakuwa kwa Taabu sana Psychologically , Especially huyo mkubwa na kama watakulia mazingira ya hapa Bongo , watakuwa stigmatized then Traumatized , Sijui hatua gani zinachukuliwa kuwalea watuto hao KisaikolojiaHapo hajakomolewa mke wala mume ila watoto. Watoto hawatapendwa na ndugu wa baba wala ndugu wa mama, halafu watoto wenyewe bado wadogo.
Unaginduaje. Kuwa anashida kwa mtazama tu Tena kupitia picha. Ukweli ni kwamba familia nyingi zina migogoro na mingi husabanishwa na wanawake.ukifuatilia sana utagundua hata unywaji wa pombe umeongezeka kwa sababu za migogoro majumbaniHuyu Baba kwa kumtazama tu unagundua ana shida mahali, yaan ile ukimuangalia kwa umakini, unagundua hayuko sawa sehemu.
Duuh
Dah siyi poa,Yeah nasikia ni issue za hela
OScar Pistorius Ilikuwaje?Wanasema majuto mjukuu, labda itumike hela kuizima hiyo kesi
Otherwise jamaa atafungwa.
Usipokuwa na moyo wa uvumilivu na kuachilia mambo, Kila siku watu watauana, hasa wanapohisi wake/waume zao ni malaika.
Kwamba hawawezi kukoseana
Hiyo ya mwanaumeAccount inaitwaje?
Mi i dont kea,Hat Mimi nikiwa na Riaasi namfumua Tu
Unamuuliza hivi Mke wangu hata unayofanya unaona ni Sawa? Nakwambia I don't care, utajijua mwenyewe, Fanya unachoona.
Ulizingatia umepotea miaka zaidi ya 10 uko naye umewekeza muda, pesa na hisia hrafu anaonekana kutojali anataka ukaanze moja
😄😄😄Nakufumua vizuri Tu hata kisu
Umesema sahihi, hasira hasaraBabu kwa usalama wake itabidi tu afungwe wala asijaribu kutemper na kesi ili aachiwe huru. Imagine ndugu wote wanajua umemuua mkeo kwa risasi, watoto pia wanajua umemuua mama yao utaishi nani? Labda uende katavi ndani ndani ukaanza maisha ama sivyo utaishi uraiani kama uko jela tu.
Hasira ni hasara kwelikweli.
Wanawake huwaheshimu waume zao wakiwa na kitu ukiyumba kidogo hayupo na wewe. Hili naweza kulithibitisha pasi na kubishana wala kuleta theory. Jana nilifanya kazi ya kumshauri rafiki yangu mmoja ambaye mkewe amekimbia na watt kisa jamaa hana kazi hadithi ni nyiiingi sanaNaona uzi mzima mnalaumu wanawake, hebu mnieleweshe what happened!🤔
Ngoja tuachie police ila yasemwayo yapoDah siyi poa,
By the time nafika moshi Walikuwa well established , Kuanzia baba Yake /Ukoo mzima .
Si unajua ndugu zako na pesa Ngozi na mwili .
Wanawake na mamlaka Ngozi na mwili pia ,
Though this are just mere speculatuon or hypothesis Formulation .