Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

au ile unapanda naye anapanda mnapandishana mashetani
 
Ila tunapoelekea ata kuuana litakuwa jambo la kawaida maana kuna uovu mwingine unafanywa na watu wanaona kawaida....
Wait wait lady.Hakuna cha tunapoelekea,myaka ya nyuma pia mauwaji yalikuwepo tena ya kushangaza.Isipokuwa zamani matukio yalikuwa hayavumi kama sasa kitokana na reliability of social medias.

Labda useme mauwaji zamani yalikuwa baridi kiasi.Mtu anakufanyia kwenye kusudio,siku hizi popote tu ilimradi ulikuwa kwenye target.

Kikubwa tuishi kwa kumwamini BWANA wa MABWANA yeye anaweza.
 
nimekuelewa hali ni mbaya usaliti na mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…