Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Nashangaa
Why ME wengi wanasupport hii kitu alofanyiwa dada
Ushasikia KE kafyatulia risasi ME?
Itike mahala wanaume mjitathmini,.hata nyie mna makosa mengi sana
Hawatumii bunduki ila huwa wanaua kwa kutumia saikolojia pamoja na sumu au uchawi.
Jiulize kwa nini kwenye nyumba nyingi kuna wajane wa kike lakini hakuna wajane wa kiume
 
Duuh! Ila nawaelewa wanaofanya hivi, mie mwenyewe kuna kijana wa mtu lazima nimuue kwa mikono yangu.
Hamjui watu wanapitia yepi hadi kufanya hayo.
Pole sana, chukulia poa, samehe tu.

Ukiua utajiweka matatani. Yeye muda huo ameshajipumzikia zake.

Halafu sura hata haijakaa kikatili
 

Attachments

  • IMG_6356.jpeg
    208.6 KB · Views: 9
Hiii hatari kwa kizazi kijacho
 
Kumbe za ndani, mwamba na huyo dada wote familia bora.Huyo jamaa familia yake kila mtu anaifahamu nikiitaja, wana kiwanda n.k
Jamaa uchumi uliyumba, kapata frustration akapigwa na kisukari.Demu kawehuka kaanza kuomba talaka na kutaka kuuza mali - jamaa kagoma anamwambia mali za watoto.Dada kiburi kikajaa, kaanza kuzingua, aliondoka nyumbani mwezi mzima hayupo huyo dada, anakolala anajua mwenyewe.Jamaa naye akaenda zake Moshi.Dada kurudi juzi, majirani wakampigia simu, mkeo karudi, jamaa katoka moshi, kapanda chuma cha usiku, anaingia kwake saa 11 asubuhi.Kakuta dada wa kazi anaandaa watoto kwenda shule, kauliza mama yuko wapi kaambiwa chumbani, kwenda huko kilichotokea hakijulikani, milio ya risasi ikaunguruma.Jamaa katoka kaenda kwa dada wa kazi, kamuambia nimeishamalizz kazi yangu kaenda zake kawe kituoni kujisalimisha, Dada ndo kwenda chumbani kakuta jamaa kafumua kichwa
 
Kaka unauliza malengo gani kwenye ndoa? Kwani ndoa ina malengo gani zaidi ya ambayo ni well established, understood and agreed globally since the beginning of times!
Mkuu watu wana malengo yao tena kivyao vyao. Don't generalize!. Mtu anaingia kwenye Ndoa kwa malengo ambayo hayahusiani kabisa na hizo unazifikiri ndio SI units za Ndoa.

Imagine mtu anakubali kuolewa ili tu aitumie Ndoa kujikwamua kiuchumi. Kwani mtu ukiwa single huwezi kujikwamua kiuchumi?. Huu ni mfano mmoja kati ya mifano mingi sana ya watu kuingia kwenye Ndoa wakiwa na Malengo yasiyohusiana na Ndoa!
 
Hili ni zito
 
Kuna mpumbavu mmoja hivi namsikia akisema kua ANATAMANI maisha mazuri ya kua na pesa na kuishi kwenye jumba zuri, na sio maisha ya hali ya chini, nimempa habari hii aisome ..na picha hizo nimemuonesha...na mjumba huo...ila mwanamke ni MAREHEMU na mume Yuko lockup..
Nasubiria nimuulize kua Bado ANATAMANI kua na maisha hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…