Hiyo sio ndoa ni utapeli!Mkuu watu wana malengo yao tena kivyao vyao. Don't generalize!. Mtu anaingia kwenye Ndoa kwa malengo ambayo hayahusiani kabisa na hizo unazifikiri ndio SI units za Ndoa.
Imagine mtu anakubali kuolewa ili tu aitumie Ndoa kujikwamua kiuchumi. Kwani mtu ukiwa single huwezi kujikwamua kiuchumi?. Huu ni mfano mmoja kati ya mifano mingi sana ya watu kuingia kwenye Ndoa wakiwa na Malengo yasiyohusiana na Ndoa!
Huyo Yesu mwenyewe kazaliwa na mke wa mtu (/Maria) Mungu alivamia ndoa ya watu. Yusuph angemuona huyo Mungu wenu na yeye labda angempiga risasiSuluhisho la kudumu ni watu kumpokea Kristo Yesu mioyoni mwao ili ang'oe mizizi ya ubinafsi.
Nafsi mbili zenye ubinafsi kuungana ni kutengeneza ticking bomb!
GG πMuuliwa mchaga, muuaji mchaga, mwenyekiti mchaga π
Huyo Yesu mwenyewe kazaliwa na mke wa mtu (/Maria) Mungu alivamia ndoa ya watu. Yusuph angemuona huyo Mungu wenu na yeye labda angempiga risasi
Hiyo ni lazima
Hiyo ni lazima
Ujeuri gan tena jmnMwanamke kaka ww jeuri ni kupiga za miguu uwemlemavu maisha
Si huwa wanaoa wake wengineHawatumii bunduki ila huwa wanaua kwa kutumia saikolojia pamoja na sumu au uchawi.
Jiulize kwa nini kwenye nyumba nyingi kuna wajane wa kike lakini hakuna wajane wa kiume
Usivamie ndoa za watu kama ndoa ya Yusuph na Maria zilivyovamiwaAiseee
Ss kama za ndani wote wako vizuriSasa utaje usitaje Kila kitu si kipo hadharani Mzee, wewe mtu umemjua hapa na story za vijiweni huko halafu unajidai kuweka code wakati jamaa anafahamika long time kitambo
NaamMkuu watu wana malengo yao tena kivyao vyao. Don't generalize!. Mtu anaingia kwenye Ndoa kwa malengo ambayo hayahusiani kabisa na hizo unazifikiri ndio SI units za Ndoa.
Imagine mtu anakubali kuolewa ili tu aitumie Ndoa kujikwamua kiuchumi. Kwani mtu ukiwa single huwezi kujikwamua kiuchumi?. Huu ni mfano mmoja kati ya mifano mingi sana ya watu kuingia kwenye Ndoa wakiwa na Malengo yasiyohusiana na Ndoa!
Ndo mana kuna kugawana maliUshauri wa kumwachia mali nwanamke ni mzuri ila hautekelezeki.. inahitaji ujasiri mkubwa na ufala uliopindukia.
Ss si uoe dada muendelee kulikuwa na ulazima kuua?.Mambo haya ...mtu kashazoea kujiweka status kua yeye wako na pesa na Ile kukaa na marafiki kujimwambafai na mashosti una hela, mume ana hela, kujiweka status Instagram na TikTok, mwenzio kayumba kidogo , badala u play a role as a loving wife and supporting wife kama ambavyo alikua anafanya hivyo kwako, wewe ndio unamuongezea matatizo, halaf eti unataka kuuza Mali ambazo watoto ndio mnawatengenezea kesho yao, halafu unaondoka nyumbani mwezi mzima, watoto hujui wanakula nini ama vipi, aise inahitaji moyo wa kipekee sana kutokuua. Tena ANARUDI na kujilalia zake, watoto wanaandaliwa na dada wa kazi
Mimi kama nisingeua basi ningemchukua dada wa kazi kama mke mpya
Huyo sio mie, πππ lolDah kumbe cocastic ndo bountiful hivi King Kong III
Seriously!!π’π’
Hii bana mnasemaga kufunika funika mamboYeah nasikia ni issue za hela
Kumbe?Hii bana mnasemaga kufunika funika mambo
Hii issue itakuwa ni deep
Tatizo unyanyasaji broNdoa kudumu inahitaji mwanamke kuwa submissive. Ndoa za zamani zilidumu kutokana na mama zetu walikua submissive kwa waume zao.
Wanawake wote inabidi waambiwe,
Waulizwe kabla ya ndoa. Ndoa ni ya mwanaume (anapoamua kutafuta mwenza wa kuishi nae) , mwanamke yeye anaolewa ( ana kabidhi mamlaka yake yote kwa mume na anakuwa Mali ya mume).
Waulizwe je wapo tayari kuolewa? Zingatia definition ya kuolewa hapo juu.
Sasa unakuta kwenye ndoa mwanamke nae anagombania Mali wakati anasahau kuwa na yeye ni sehemu ya mali ya mwanaume.
Na nyie mkichepuka muuwawe?.Kuna baadhi ya watu hawawezi kuvumilia dharau mkuu yaani ni bora akae jela kuliko kumletea dharau yaani kwa mfano anakuonyeshea mchepuko wake waziwazi na ukimuuliza anakwambia amua la kufanya na ukicheki mmeshazaa watoto na mnamiliki mijengo na mali zingine na unawaza ukimuacha mtagawana mijengo halafu amlete mchepuko wake amzagamue humohumo ndani hapo ndipo akili hugeuka na kuwa ya kinyama