Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

Ni mtoto wa kike
 
Sawa next time I'll do better
 
Ni kweli mimi siwezi kua zaidi ya mama yake...wakat nasema nitaenda mimi haikua katika mabishano tulielewana tu kawaida.
 
Hahahaa kina mama mkwe wengine vichefu chefu
 
Hapa napata maswali kadhaa.
1. Mama mkwe wako anatoka nyumbani na kupita mahali 3 usiku? anaenda wapi saa 3 usiku?
2. Mpaka saa 3 usiku wewe mama mwenyenyumba hujajua mapungufu ya jikoni?
3. Mama mkwe anaratibu vipi mambo ya jikoni wakati wewe upo?
Ushauri wangu:
1. Simama kwenye nafasi yako kwenye masuala ya jikoni, chakula kiliwe kwa wakati.
2. Shiriki kazi za jikoni, Inaelekea dada wa kazi unampa kazi mpaka mama mkwe wako anaingilia kumsaidia.
3. Jitahidi umpende mama mkwe wako, muamini na mheshimu.
 
Tulishakula chakula cha usiku toka saa mbili...kuna mboga ililetwa muda huo na kutokana na sababu flan ikabidi tuichemshe kabisa . Kama unavyojua viungo vya kuchemshia mboga vinakua vingi kwa baht mbaya ajina moto haikuwepo .
 
Ndio tatizo letu waafrika kupindishapindisha mambo.
Tunahitaji kuambizana ukweli. Upumbavu sio tusi ndugu.

Mtoto wangu nilimfundisha kuniambia ukweli when am wrong. Nikamuambia hakuna kitu kinaitwa mkubwa hakosei. Only in African minds.
 
Nimesoma comments zote, ama kweli mke wa kiafrika ataendelea kukandamizwa maisha yake yote. Hata kwa hili mnamkandamiza huyu dada kweli? Mnajaribu kuyapaka rangi nzuri makosa ya kila mtu isipokuwa ya huyu mwanamke mnayakuza.

Inaonekana ili amani ipatikane ndoani ni wajibu wa mke kuileta wakati huo wengine wote kazi yao iwe kuketa migogoro.

Msichana tafakari kwa usahihi na ikibidi kataa ndoa, ndoa ni ukandamizaji , ndoa ni manyanyaso, kama waoaji ndio hawa waliocomment humu.
 

Huwezi kusema kwa ustaarabu unapomkosoa Mama mkwe tena ukiwa umeolewa..

Kama ni mtoto wake kweli sioni sababu ya wewe kukasirika. Lakini kama sio mtoto wake, yaani ni mtoto wako na mwanaume mwingine unahaki na hiyo ndio tafsiri ya ulicho
Mtoto wake na ndio maana nmekuja hapa kupata mawazo zaidi .

Kama ni mtoto wake kinachokuuma ni nini kama sio tabia mbaya
 
Tulishakula chakula cha usiku toka saa mbili...kuna mboga ililetwa muda huo na kutokana na sababu flan ikabidi tuichemshe kabisa . Kama unavyojua viungo vya kuchemshia mboga vinakua vingi kwa baht mbaya ajina moto haikuwepo .
Na unatumia haji na moto.... Baada ya miaka miwili mzee akishindwa kukupiga show unatafuta dogodogo... Hatari hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…