Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mtazamo wa kizamani sana.Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Sasa uliolewa ili kutotoa vitoto tu.
Heri kuachana kila mtu ale jasho lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtazamo wa kizamani sana.Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Kuna mama pale mbezi Luis, alikua anakata eneo anauza hela, anapeka kanisani.Mwanamke akishajiunga na makanisa ya kilokole anakua gaidi.
Uko vizuri mwanamme, lazima uwe na Mamlaka ndani. Ndiyo maana mwanamme, na mwanamme haolewi bali ana owa, hata Mungu amempa mamlaka Mwanamme.Jamani msicheke na wanawake ndoa nyingi zimevunjika kwa wanaume kutowafuatilia wanawake,mimi mke wangu anafanya kazi kila mwezi nahitaji (Lazima)anipe orodha ya matumizi ya mshahara wake kuna wakati ananunua viatu pear 3 kwa wakati mmoja ndani kuna pear zaid ya 40 ujinga huu siuruhusu hapo ni ban ya kununua viatu miezi 3,kuna wakati kwa makusudi akiniambia sukari imekwisha namwambia kanunue na pesa yako na nikute mfuko upo ndani ni amri sio ombi.mshahara wa house girl ni jukumu lake na ninachotaka kujua kalipwa ni lazima sio ombi ,na nimemwambia kama hataki nifuatilie matumizi ya mshahara wake akae nyumbani hakuna tatizo .
Naona wanawake mnakomaa,lakini undani wa maisha yao hamuufahamu. Kama mwanamke hataki fedha zake zihudumie familia aache kazi. Lakini kutoka asubuhi kwenda kupoteza muda huna unachochangia ni upimbi. Aache kazi ili pesa yake isitumike.
Huna point zaidi ni inaonekana wewe ndo mchungaji unayepoke hizo pesaTatizo liko kwa wanaume oeni wanawake Saizi yenu !wewe lofa kidume kwenu kunguni tupu nyumba za majani umeme hata hakuna mnatumia vibatari unapata kikazi magereza uaskari unaenda mfano kuoa binti mtoto wa Bakheresa. Unaanza kuleta vi theory vya ajabu vya porini huko
Oa kwenu porini huko huyo mwelewa wa vimila vyenu vya kipuuzi na kichwa kwa kidume ndio chenyewe hata kiwe lofa
Kaoe kwenu kwa maskini wenzio
Wazazi matajiri hawaombi ATM za watoto wao wewe kidume lofa ndie ujitie kudai
Vidume wenye msimamo kama wako wakaoe wanawake vijijini kwao wale wasiojua hata kuoga wala kwenda saluni
Hayamhusu huyo kidume kiofisa koko cha magereza kilinda wafungwa wakinya wasije kutoroka
Mwanamke akipata pesa yake kwa nini utake kudhibiti pesa yake matumizi? Mkataba wa ndoa unatamka kuwa ukioa utadhibiti matumizi ya pesa za mkeo? Mbona wewe hakuombi ATM yako?
Hii kesi tamu hukumu yake itakuwa landmark kuonyesha kama mke ana haki ya chake akipatacho kwa jasho lake kuwa lazima kidhibitiwe na mwanaume aliyemuoa kuwa mwanamke hana uhuru wa kutumia pesa yake hata kununua pedi bila ruksa ya mume aliyeshikilia ATM kisa alilipa mahari.Kuwa hata akitaka pedi ambembeleze mwanaume kuwa naomba ike ATM niliyokupa Katoe pesa nikanunue pedi navuja siku zangu mume wangu niko chini ya miguu yako katoe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna Eid mie sio yangu, ilikua easter, but nlikua mgonjwa.Bebe mekumiss jamani eid inapita ata mualiko wa uongo[emoji3][emoji3]
Sijui kama anajua alichoandika.Huna point zaidi ni inaonekana wewe ndo mchungaji unayepoke hizo pesa
Basi akae nyumbani, mimi nipoteze haki zangu za kuhudumiwa kama mume, kuna muda nahitaji huduma yake, naikosa sababu yupo kazini.Ni aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Umeona mkuu, kuna wanaume hawaelewiki maana ya mke kufanya kazi nini sasa, kama hela yake haingezi kipato cha familia, haya hanafanya kazi ya kuajiliwa je wanawake walioko kwenye biashara.Kweli kuna wanaume viazi yani wewe na Mke mfanye kazi halafu useme hela ya Mkeo atumie anavyotaka huku wote MNA watoto wana wategemea.
Ndio maana Wazungu wanatuzidi.
Kutoa sadaka na kumpa pesa mchungaji ni vitu tofautiIssue hapo sio mwanamke kutoa fedha kwa familia ni yeye kupeleka fedha kwa mwanaume mwingine
Pole bebeee polee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna Eid mie sio yangu, ilikua easter, but nlikua mgonjwa.
Wewe ni gay?Unageuka CIA wapelelezi kila kona kama humuamini mke
Kama humuamini ulimuoa wa nini
Hadi umuwekee wapelelezi kila kona akikuwekea wewe utanusurika?
Mkuu ni majanga, unashangaa ghafla mwanamke ana chale za kutosha mwilini na hakuwa nazo. Unapata habari baadaye kuwa alikuja mganga kuzindika nyumba na biashara kalipwa laki tano na hela ya usafiri. Unawaangalia watoto wako na kufikiria hatima yao, kama ukitoweka ghafla unachoka, unaamua kuendelea kuwepo uwasogeze sogeze huku ukimfungia wife mirija ya pesa taratibu ili awe na adabu, wakati mwingine inakuwa too late.Wengi wa humu ni Watoto hata kuonja k hawajawahi! Comments zinaonesha ukurupukaji. Hii ilitokea kwa Marehemu Dr Likwelile ambaye alimuacha mkewe wa kwanza kwa kupeleka gari na kulitoa kanisani ati ameokoka! Ukiona mwanamke anafanya kitu kama hicho bila kushauriana na mumewe, jua anachepuka
Huo muda unaotumia huko kazini huoni kwamba ni wa kuhudumia ndoa? Muda huo ungekuwa labda unaogesha mtoto, unaunga mboga, unafanya usafi ndani, unafua etc.. Sasa uutmie muda wa ndoa kutafuta fedha and then unachokipata ndani ya muda huo kiwe chako binafsi..!! UBINAFSI HUOWanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Tatizo kubwa si kuhama tu dhehebu bali namna mwanamke anavyotoa hela yote kwa mchungaji badala ya kufanya angalau matumizi ya kifamiliaHapa wote wawili ni fanatics
Mke fanatic wa ulokole Mume naye ni fanatic mkubwa wa ukatoliki.Kwake mke kuhama ukatoliki kesi!!.wakati katiba ya nchi inaruhusu mtu kuwa ana uhuru hadi wa kubadili dini!!
Ukiangalia cause hapo kubwa ni catholic fanaticism ya mwanaume!! Yuko so fanatical kiasi kuwa akili imemuhama hadi ataka ATM lakini Nadhani main reason anataka kuforce mkewe arudi katoliki kwa kutumia coercive force.
Anyway maparoko wakae na mtu wao huyo kidume mdai ATM apewe na mkewe kumpa ushauri nasaha kwenye issue za difference za kiimani zikitokea baada ya ndoa kufungwa kikatoliki how to manage marriage peacefully in such a situation badala ya kutumia nguvu kuforce mtu arudi kwenye dini kwa kufanya vurugu nk
Nyie ndiyo mnaongopea wa Mama wa Watu kua sadaka zao zinaenda mbinguni,kumbe nyie ndiyo mnajifanya mbingu wenyewe na kubunya sadaka za akina Mama masikini,msijione wajanja sana,Malipo hapa hapa Duniani mtalipa tu,karma haijawai kukosea address ya mteja wake, is just a matter of time tu!!Kutoa sadaka na kumpa pesa mchungaji ni vitu tofauti
Hakuna muumini hutoa pesa kwa mchungaji ila hutoa sadaka kanisani.Na mchungaji hawezi jua nani katoa nini sababu sadaka huwekwa kwenye chombo cha sadaka kwenye makanisa yote yawe.ya kilokole au la
Huyo mwanaume ana hasira tu na ulokole ni fanatic.tu wa kikatoliki. Hawezi thibitisha popote kuwa pesa huyo mwanamke huwa anazipeleka kwa mchungaji
Hata wewe aliyeandika uko kwenye kundi hilo hilo.Sadaka hazipewi mkononi ikifika kipindi cha kutoa sadaka kila.mtoa sadaka huwekwa kwenye chombo cha sadaka mwisho huenda kuhesabiwa sasa pale huwezi sema hii sadaka ya fulani
Huyo mwanaume Mzushi