Mali safi kabisa hii....Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Sawa ngoja niuze mifugo nijaribu bahati yangu, mimi nipo mkoani baby
Kwa simple analysis ya namna hii, kama ni engine basi inatakiwa iwe imefanyiwa overall mara 7, tuki- assume kuwa hiyo operation ya moyo inafanyika kila baada ya miaka 2UTANI;
Mwanamke miaka 33 kama alianza kuzagamuliwa akiwa 18 YO, maana yake amekuwa single kwa miaka 15. Kama kwa mwaka alikutana na wanaume at least wawili, we muoaji utakuwa wa 31. πππ
Swali' hujawahi kuachika kwenye ndoa? Halafu naomba upunguze vigezo na masharti. Me nina elimu ya darasa la saba, ila kahela kadogo ka kula kapo. Niko mkoani nina miaka 35Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Ni uoga tu wa maishaMungu akupe sawa sawa na haja ya moyo wako but naomba kuuliza , Degree yake itasaidia Nini kwenye ndoa ?πππ
Una uhakika na research yako?Hakuna mwanaume mwenye 33 hajaoa.
Shuka angalau anzia 27 mpk 30.
KaribuSwali' hujawahi kuachika kwenye ndoa? Halafu naomba upunguze vigezo na masharti. Me nina elimu ya darasa la saba, ila kahela kadogo ka kula kapo. Niko mkoani nina miaka 35
Asante lakini hujajibu swali langu kwamba hujawahi kuachika?Karibu
Red flag siji PMpicha siyo yangu
Sijawahi kuolewa wala kuishi na mwanaume kiunyumbaAsante lakini hujajibu swali langu kwamba hujawahi kuachika?
Kwanini?Red flag siji PM
Usihofu nimesema tuKwanini?
Ni "Overhaul" siyo overallKwa simple analysis ya namna hii, kama ni engine basi inatakiwa iwe imefanyiwa overall mara 7, tuki- assume kuwa hiyo operation ya moyo inafanyika kila baada ya miaka 2
Asante kwa jibu lakoSijawahi kuolewa wala kuishi na mwanaume kiunyumba
Haisaidii chochoteMungu akupe sawa sawa na haja ya moyo wako but naomba kuuliza , Degree yake itasaidia Nini kwenye ndoa ?πππ
Nisaidie kumtengeneza wewe kama huyo uliemtengezaTukupe udongo umtengeneze