Mume na Baba wa familia anahitajika

Rekebisha kigezo cha Elimu, sidhani kama Bachelor degree ina umuhimu kwnye ndoa
 
Yaani una muonekano sawa na huyo dada pichani alafu hadi unaturn 33 hujapata mwenza wa kueleweka?

Wewe utakua ni bomb tu. Jichunguze Kwanza.

Anyway sisi wanaume hatuchagui hatubagui ngoja waje wenye vigezo.
 
Yaani una muonekano sawa na huyo dada pichani alafu hadi unaturn 33 hujapata mwenza wa kueleweka?

Wewe utakua ni bomb tu. Jichunguze Kwanza.

Anyway sisi wanaume hatuchagui hatubagui ngoja waje wenye vigezo.
Nimejichunguza ni kweli mimi ni nuclear bomb πŸ’£ una ushauri wowote after?
 
Ngoja niwanie nafasi kwenye hili Jimbo lililo wazi naomba kuwasilisha.
 
😁😁😁😁😁 siku hizi umechangamka sana braza


haupo hivi
Namtania Mimi na mke wangu..nilimwacha nyuma kidato nilipo maliza university accidentally tukakutana it's just waaoo Mimi sikua na mkumbuka maana wanawake mnasukaga..

Mimi nilikuaga mpole shule na mwenye akili pia form 3 nilichaguliwa kua kiranja (prefect)

Niligombea na jamaa mmoja ivi nilishindwa kwa kura chache kisa sikuaga najulikanaa...wengi baadae walishangaa kumbe ni wewe..nikachaguliwa na uongozi wa shule just surplze...nikawa kiranjaa

Ndipo nikaanza kujulikana secondary
So nilikua namtania Mimi nisha oa na Nina familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…