Kwa jinsi mambo yalivopangiliwa hapa Duniani, unadhani huyo mpanagiliaji wa mambo yeye hajapangiliwa?The force behind all power is Ernegy. God is Ernergy.
Ndio Mungu ni uwezo.
Shida kubwa hapa ni dini. Dini ndio inasababisha watu wawe na mashaka ya uwepo wa Mungu. Haswa kwa kutuambia kwamba tusipofanya mambo mema eti tutachomwa moto milele.
Things comes in pairs. Usiku kwa mchana, Magharibi kwa mashariki. Kushoto na kulia.
Hivyo hivyo Mungu na Shetani.
Mambo mazuri yoooʻote ni ya Upande wa Mungu. Upendo, fadhili, utu wema,nk
Mambo yote mabaya ni ya shetani. Wizi, fitina, uasherati nk hiyo ni mali ya shetani.
Angalia mpangilio wa dunia na ulimwengu kwa ujumla. Mzunguko wa jua na mwezi, Manyota na masayari jinsi yalivyojipanga. Unadhani huu mpangilio umekuja tu?
Kwani chanzo cha kifo ni nini?Watu kufa tu tayari hapo zile sifa za Mungu mwenye Upendo wote na nguvu zote mashaka yanaanza 🤣
umetumia kigezo gani kujua kama kuua au kubaka siyo haki?Kwa sababu kitendo wanachofanyiwa si haki, kama ni kuua mtu anakatisha uhai wao kwa makusudi kama kubakwa basi mtu anawaingilia kwa nguvu bila wao kukubaliana nae.
Chanzo cha kifo si kimoja,Kwani chanzo cha kifo ni nini?
Kigezo cha kwanza ni cha kimaadili au hata kiimani(Dini).Maadali ya jamii nyingi duniani yanaonesha kukatisha uhai wa mwanadamu mwenzio kwa makusudi na isivyo halali ni kosa sababu unamnyima haki ya kuishi mwanadam mwenzio hata imani za dini zinaonesha kuua kwa makusudi ni dhambi.umetumia kigezo gani kujua kama kuua au kubaka siyo haki?
Swali gani sijajibu?Kigezo cha kwanza ni cha kimaadili au hata kiimani(Dini).Maadali ya jamii nyingi duniani yanaonesha kukatisha uhai wa mwanadamu mwenzio kwa makusudi na isivyo halali ni kosa sababu unamnyima haki ya kuishi mwanadam mwenzio hata imani za dini zinaonesha kuua kwa makusudi ni dhambi.
Kigezo cha pili yaweza kuwa sheria za nchi sababu nchi nyingi kama siyo zote duniani zinakataza kuuwa mtu kwa makusudi kabisa hasa wnaaangalia nia ya muuaji. Ndo maana kama unaua bila kukusudia si kosa, au umeua kwa kujilinda but kma umeua kwa kukusudia ni kosa sababu umenyima haki ya mwingine pasiposababu ya kuondoa uhai wake kwa njia halali kabisa.
Shida wewe nimekuuliza maswali mengi hujajibu hata moja badala yake unaendelea kuuliza maswali yakuzungukazunguka tu. Mimi nakujibu yako then yangu hujibu. Labda ulipuyanga na unataka kujifunza zaidi. But uwe unajibu maswali yangu na mimi nijifunze mengi kupitia wewe
I lived and practiced that life for real!Once up a time ulikua under magic field is it true or it's just a myth?
Kwahiyo si HAKIKA!Ninaweza nikakupa jibu lakini inaweza isiwe jawabu, yaani isiwe jibu sahihi kwa mtazamo wako.
Sio kila jambo nilakufanyia mijadala mkuu kuna kikomo lakini kuna siku mtakumbuka katazo languHii ni open discussion bwashee, unaweza kupita kimya kimya 🤠
Tufunge mjadala but unaweza kurejea kwenye majadiliano yetu then utaona kuna maswali hujayajibu zaidi ya wewe kuuliza maswali tu.Swali gani sijajibu?
Hahaha 😂. Mkuu unakataa kitu ambacho hakipo?Namkataa shetani na mambo yake yote. Nayakataaa.
Isomwe na secretarybird
Yeah.Kwahiyo si HAKIKA!
na asili yake Mungu ni nini? si kwa ubaya lakini!Na mimi sihitaji huviamini hivyo vitabu nahitaji utumie akili kutambua uwepo wa aliyeumba kila kitu
Kwa unavyofikiria je asili ya mwanadam ni nini kama hajaumbwa na Mungu ???
Mwanzo 3:19 😂Watu kufa tu tayari hapo zile sifa za Mungu mwenye Upendo wote na nguvu zote mashaka yanaanza 🤣
Anateseka, ndugu zakeKwani mtoto akibakwa au kuuawa tatizo ni nini?
Umewahi kujua kwa nini wanyama wengine hawauani hovyo kiholela au kwa nini wanyama hawabaki??umetumia kigezo gani kujua kama kuua au kubaka siyo haki?
Kinachowatesa ndugu zake ni nini?Hao wanyama wasiouana hawana sababu ya kuuana na siyo Kinga ya wengine kuuawa.Anateseka, ndugu zake
Umewahi kujua kwa nini wanyama wengine hawauani hovyo kiholela au kwa nini wanyama hawabaki??
Kwanza kubali Kuna mpangaji wa mambo ya ulimwengu ndipo uwe na haki ya kuhoji huyo mpangaji alipangwa na nani.Kwa jinsi mambo yalivopangiliwa hapa Duniani, unadhani huyo mpanagiliaji wa mambo yeye hajapangiliwa?