Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Hata muislam anamtukuza zaidi Muhammad kuliko Allah jaribu kuchunguza utakubaliana nami.
Hakuna muislam anaeomba kwa jina la Muhammad ila wakristo wanaomba kwa jina la yesu
Waislam hawamuombi mtume ila wanamuomba Mungu wao wanae amini hakuzaa Wala hakuzaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja
 
MWANZO 2:26

MUNGU akasema: Na tumfanye Mtu kwa mfano wetu na kwa sura yetu, wakatawale Samaki wa baharini na ndege wa angani, na wanyama wa nchi pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi

Alikuwa anamwambia nani?
 
Kihebrania - Yahweh
Kiarabu - Allah

Kiswahili - Mungu.

Hakuna utofauti wowote
Hapo kwenye kiswahili Mungu ndio umechemka,Mungu ni sifa ila jina lake ni lipi?? Kiarabu Allah sio maana yake Mungu ila ni jina la huyo Mungu.sijui naeleweka yani Mungu kiarabu chake sio Allah ni Ilaha
 
Sasa mbona uslam umetamalaki huko uarabuni ambapo hakuna watu weusi
 
Kiukweli wamezingua huko paradiso
 
Mungu wa waisam ndio ametaja jina lake ambapo ni Allah,ila wa kwenye biblia hakuna hata andiko moja alipotaja jina lake zaidi ya pale aliposema mimi niko ambaye niko
 
Mungu ni mmoja na kweli yupo na anatenda na hakuna mbadala wake
Wote tumtegemee yeye peke yake tu anaweza
 
Umeandika Kashfa hapa.

Unajua kuwa hii ni kashfa kwa dini usiyoifahamu? Tuanzie hapo.
 
Dah mbona mjinga ww kwanza huna cha kunifundisha we KAFIRI kwenye Uislamu Wangu

Haya mm nakuletea iyo aya kwa kiswahili mna kiingereza hukijui hlf tuoneshe uyo mke huoris

Ujinga ni Mzigo mkubwa sanaaView attachment 2129914
Unajua Ukafiri alioufanya Muhammad kwanza? Unahitaji kuujua?

Jibu swali langu la kwanza tuendelee na mnakasha jamvini

Si umeshashiba na bila shaka umeshaswali Ishaa? Au bado
 
Kweli Mungu ni mmoja tuu ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwa

Ukienda qur'an 112:1 utapata majibu ya ulichokiongea na nilichokuelimisha
Kitu gani kinakufanya kuhisi hao wakristo wankosea katika utatu?!
Simple logic: unawezaje kumhukumu mtanzania kwa sheria za Rwanda?!
Nimeuliza kwa sababu isalam na ukristu ni dini mbili tofauti zenye mitizamo na misingi tofauti ma zenye katiba zao tofauti pia.
Mfano; SDA hushutumu kuhusu RC binafsi nashangaa kwa sababu chanzo, muundo na imani zao ni zina kiasi kikubwa cha utofauti
 
Mungu wa waisam ndio ametaja jina lake ambapo ni Allah,ila wa kwenye biblia hakuna hata andiko moja alipotaja jina lake zaidi ya pale aliposema mimi niko ambaye niko

"Mwalimu wa shule ya Madina ametaja jina lake ambalo ni Mwalimu , ila mwalimu wa shule ya Mpinga hakutaja jina lake zaidi ya kusema mimi ni Salehe".

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
icho ndicho ulichokiandika na nimeikiweka katika lugha rahisi ili nikisema una tatizo la akili usipanic.
 
Soma iyo apo nahisi nitakua nimekujibu
 
Unajua Ukafiri alioufanya Muhammad kwanza? Unahitaji kuujua?

Jibu swali langu la kwanza tuendelee na mnakasha jamvini

Si umeshashiba na bila shaka umeshaswali Ishaa? Au bado
Kwanza unajua maana ya ukafiri? niletee maana ya kafiri hlf nitakujibu swali lko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…