Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
- Thread starter
-
- #61
1-Mungu ukidai kazaliwa ni lazima utueleze hiki kipindi cha miezi 9 wakati yupo tumboni kwa mwanamke, je ni nani aliyekuwa akiuendesha ulimwengu? Nani aliyekuwa akizishikilia mbingu zisidongoke,nani aliyekuwa akilitoa jua mashariki kwenda magharibi, nani aliyekuwa akisimamia mifumo ya mvua, nani aliyekuwa akigawa riziki??1. Una uthibitisho gani kwamba vyote vilivyozaliwa havikuwepo kabla? Mungu kama ana nguvu zote hawezi kugeuka kiumbe cha kuzaliwa?
2. Una uthibitisho gani chochote kinachozaliwa lazima kiwe na mwisho? Mbona Wahindu wanaamini hakuna mwisho wa viumbe hai vinavyozaliwa bali vinabadilika tu kutoka kiumbe kimoja kwenda kingine? (reincarnation)
3. Mbona Muhammad anasema Issa alizaliwa akiwa anaongea?
Kama uliwezekana huo muujiza vipi unasema Issa alikuwa mdhaifu?
4. Yesu ni mwana pekee wa mungu, hakuendelea kuzaa watoto wengine. Pia kwa nini unafikiri mungu haitaji kuzaa? Mbona Wagiriki, Warumi na Wamisri wa kale hawakuwa na tatizo lolote kabisa miungu yao kuzaa na kuwa na watoto?!
Kwa nini unafikiri dhana yako ya mungu asiye zaa na asiyekuwa na udhaifu ndio kweli na nyingine sio kweli??
Dhumuni la mimi kuumbwa na kuletwa hapa duniani ni lazima lijibiwe na Yule aliyeniumba mimi na kunileta hapa duniani ambaye si mwingine bali ni MUNGU.Dhumuni la wewe kuletwa hapa duniani ni lipi?
Utakuwa umekosea kuni mention binti yangu mzuriMbona wewe kutwa unajadili mambo ya Yanga na Zuchu kupata mtoto wakati bado ni masikini??
Quran 38:27Imejengwa na nani?
Thibitisha imejengwa na haijatokea tu kwa bahati nasibu.
Aliyeijenga hii system yeye ameumbwa/ amejengwa na nani?
Maneno haya kayatamka nani?Quran 9:30-31
" Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"
Nenda leo hii kakojolee geti la ikulu au kituo cha polisi au mahakama ya serikali...utapata majibu kama watakupa maua au vp?Kwanini Mungu asijitetee mwenyewe?
Kuishi milele sounds terrible na kuwachoma watu milele ni ukatili. Mungu wenu atakua katili sana akiwa hivyo. Wewe huwezi hata kumchapa mwanao ila Mungu wenu anawachoma milele huku anafurahia show.
MunguManeno haya kayatamka nani?
sawa huko peponi ntapata nini cha maana??Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.
Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.
Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu.
Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu amemkufuru Mungu.
Ndugu zangu hapa duniani tunaishi mara moja tu....tunakufa na jua kuwa tutafufuliwa na kwenda kuulizwa juu ya imani tulizokuwa nazo na kuzifuata hapa duniani.
Vp utakufa hali ya kuwa ulifuata imani inayosema kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja na amezaa mtoto? au amezaliwa na Mwanamke?
Kumbuka kuwa hakuna chance mbili...!! Tukiipoteza hii nafasi jua huko tuendapo kuna PEPO (paradise) na MOTO (Hellfire). Na huko hakuna kufa ...Kama utaingia Peponi jua utadumu humo milele na kama utakuwa umekufuru na kuingia Motoni jua pia humo utadumu na kuishi milele ukitumikia adhabu kali kutoka kwa Mungu.
tunga walau aya moja tu inayofanana na Quran...ukishindwa nenda kakusanye ukoo wenu au kijiji chenu chote..mlete walau aya moja tu mfano wa QuranUdini hupumbaza.
Unamzungumzia Mungu ila reference unaleta quran iliyotungwa na mwanadamu.
Radhi za Mungu na kisha utapata maisha ya milele kwa maana hutokufa,hutozeeka, hutoumwa....Utapata kila ambacho nafsi yako inakitamani.sawa huko peponi ntapata nini cha maana??
Sasa Mungu atesemaje na Mungu amuangamize? Hapo hauoni aliyeongea hayo sio Mungu?Mungu
Unaweza thibitisha kuwa Mungu aliandika quran?tunga walau aya moja tu inayofanana na Quran...ukishindwa nenda kakusanye ukoo wenu au kijiji chenu chote..mlete walau aya moja tu mfano wa Quran
pombe na wanawake watakuwepo?? yaan ata 50.hivi???Radhi za Mungu na kisha utapata maisha ya milele kwa maana hutokufa,hutozeeka, hutoumwa....Utapata kila ambacho nafsi yako inakitamani.
Kama mungu alikuumba wewe mwanadamu dhaifu na akakuacha utende dhambi ili akakuchome, huo ni ukatiliKumbuka kuwa hakuna chance mbili...!! Tukiipoteza hii nafasi jua huko tuendapo kuna PEPO (paradise) na MOTO (Hellfire). Na huko hakuna kufa ...Kama utaingia Peponi jua utadumu humo milele na kama utakuwa umekufuru na kuingia Motoni jua pia humo utadumu na kuishi milele ukitumikia adhabu kali kutoka kwa Mungu.
sio pombe tu bali mto wa mvinyo utapita kwenye kasri lako.pombe na wanawake watakuwepo?? yaan ata 50.hivi???
ko nikianza kunywa pombe hapa duniani kuna makosa au??sio pombe tu bali mto wa mvinyo utapita kwenye kasri lako.
Mtume Muhammad (peace be upon him) alisema kuwa Mtu wa mwisho kabisa peponi atakuwa na ufalme mara kumi ya ufalme waliokuwa wakimiliki wafalme wa dunia hii) .
Quran 32:17
" Nafsi yoyote haijui waliyo fichiwa katika hayo yanayo furahisha macho - ni malipo ya yale waliyo kuwa wakiyatenda."
Kama Quran inaongelea neno wakristo, ambao hata Yesu mwenyewe hakuacha watu wanaoitwa wakristo, basi hicho kimeandikwa miaka ya juu juu huko baada ya kristo na ukristoQuran 9:30-31
"Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"
Wamewafanya makuhani wao na wamonaki wao kuwa ni marabi badala ya Mwenyezi Mungu, na pia Masihi bin Maryamu. Na wala hawakuamrishwa isipo kuwa wamuabudu Mungu Mmoja, hapana mungu ila Yeye. Subhanahu, Ametakasika na hayo wanayo mshirikisha nayo.
Kabla ya Mungu kuzileta nafsi zetu hapa duniani alishatubainishia kila kitu na nafsi zote zilikiri kuwa hakuna Mungu mwingine isipokuwa YEYE.Kama mungu alikuumba wewe mwanadamu dhaifu na akakuacha utende dhambi ili akakuchome, huo ni ukatili