Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

Katika moja ya miujiza ya Mungu na huwa inanistaajabisha na kunifanya nicheke kila siku ni pale ninapoona Mungu ameumba viumbe ambao wanamkana!!

Hakika huu ni muujiza mkubwa sana.

Quran 10:45

" Na Siku (ya kiyama), (MUNGU) atakapo wakusanya, itakuwa kama kwamba hawakukaa ila saa moja tu ya mchana! Watatambuana. Hakika wamepata hasara walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, wala hawakuwa wenye kuongoka.
 
Kuna namna yeyote ya uwezekano wa upendeleo katika mchakato huo?
Hapana...Kila Mwanadamu amepewa chances sawa. Kila mwanadamu anazaliwa akiwa katika maumbile ya dini ya kiislam ila wazazi wake wawili ndio humbadili mtoto na kumpeleka katika dini nyingine.
 
Kuna namna yeyote ya uwezekano wa upendeleo katika mchakato huo?
Mungu ni Mwenye haki , ametakasika kutokana na dhulma.. YEYE hamdhulumu mja ila mja ndiye mwenye kujidhulumu nafsi yake.

Mfano tu sasa hv Mtu ambaye si muislam akifa halafu huko atakapokwenda kuhojiwa, Je hukusikia habari za Mtume wa Mungu anayeitwa Muhammad? au hujawahi kusikia kuhusiana na dini ya Uislam? Au hukusikia juu ya kitabu cha Quran?

Imagine huyu mtu ameishi miaka 60-90. Je atasema kuwa ameonewa na Mungu? au atakuwa amejidhulumu nafsi yake kwa kuchagua kutokumuamini Mungu pamoja na Mtume Muhammad (pbuh)?
 
Kujua mungu yupo au hayupo inaweza kuwa tatizo kweli lakini kuhusu mungu wa Ibrahim(Abrahamic god) wa Wakristo na Waislamu huyo ni wazi hayupo kabisa.
 
Katika moja ya miujiza ya Mungu na huwa inanistaajabisha na kunifanya nicheke kila siku ni pale ninapoona Mungu ameumba viumbe ambao wanamkana!!
Kama huyo Mungu ndio kaumba viumbe wanaomkana, mwenye makosa ni nani hapo?

Yeye muumbaji?

Au viumbe?

Kwa sababu, Kiumbe hawezi kwenda kinyume na vile alivyoumbwa.

Kama Mungu aliumba viumbe wanao mkana, Basi mwenye makosa ni yeye mwenyewe!

Asilaumu viumbe wanaomkana. Kwa sababu muumbaji ni yeye mwenyewe.

Huyo Mungu, kama alijua hapendi kukanwa, angeweza kuumba binadamu wasio weza kumkana.

Angeumba binadamu wema na watiifu tu, wasioweza kumkana hata kidogo.

Kuumba binadamu ambao wanaweza kukukana, wakati unajua kabisa hupendi kunanwa, Halafu bado unalalamikia viumbe haohao wanakukana, Wakati uliwaumba mwenyewe wakukane, Ni ukichaa.

Huyo Mungu kama alijua hapendi kukanwa, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii siku zote na wakati wote bila kumkana?
 
Basi pia ulimwengu umekuwepo milele.

Hakuna wakati ambapo ulimwengu haukuwepo.

Ulimwengu umekuwepo milele.

Na hauna muumbaji.

Na wala hauhitaji muumbaji.
Mungu ni zaidi ya dini zinavomuelezea,

Ulimwengu hauwezi kujiumba wenyewe mkuu.

Kila nikifikiria force of gravity na namna sayari yetu ina support maisha. Basi naamini there’s almighty creator. And that’s Him
 
Hapana...Kila Mwanadamu amepewa chances sawa. Kila mwanadamu anazaliwa akiwa katika maumbile ya dini ya kiislam ila wazazi wake wawili ndio humbadili mtoto na kumpeleka katika dini nyingine.
Hakuna mtu aliyezaliwa na imani wala dini yoyote ile.

Kila mtu amezaliwa Atheist.

Bila kuwa na imani ya aina yoyote ile.

Mpaka pale wazazi au walezi wanapo introduce imani hiyo kwa mtoto. Kwa kumfundisha na kumtaka aifuate imani hiyo.

Wewe wazazi/walezi wako ndio walikufundisha uislamu. Wala hukuzaliwa na huo uislamu.

Huo uislamu umepachikwa na kupandikizwa na walio kulea. Wazazi/walezi wako.

Hakuna mtu anayezaliwa au aliyezaliwa na dini au imani fulani.

Kila mtu kazaliwa Atheist. Bila kuwa na imani ya aina yoyote ile.
 
Belief that you belief na kama kuna wewe hauami waache wanaoamini

Hii yote inayosababisia discusion ni elimu tuliyoletewa na wazungu
 
Wanaosemaga dini ni utapeli naonaga kama hawako njema kichwani.

Kumtambua MUNGU sio jambo la jumuiya, la kulazimisha, na kwa mwenye akili timamu hata sio la kufundishwa.

Seriously mtu unaamka asubuhi na kitu cha kwanza unawaza ni kuna watu wanataka kukutapeli? Hivi mkoje? ? ?

Kwanini huwazi huo mwili wako umetokeaje? Ulimwengu na kila kilichopo kimetokeaje? Kwanini upo badala ya usingekuwepo kabisa?

We unaamka unawaza kuna mtu anataka kukutapeli! ! !

Mna akili timamu? ? ?

YESU ni mualiko wa kibinafsi kabisa kutoka kwa Muumba kwenda kwa kiumbe wake.

Hili sio jambo la jumuiya.

Kuna mambo hayajadiliwi. Yani if you don't gerrit forget abourit.

Ni kama kutaka kila siku kujadiliana na watu kwanini unampenda mkeo/mumeo. Hizo ni habari zako binafsi hazituhusu, sio kazi yetu kumuelewa huyo mkeo/mumeo.

Sababu kwanini tunamuongelea, tunamtetea na kumtamgaza YESU sio kuwaaminisha nyinyi msioamini.

Ndomana tuliagizwa ukimuambia mtu asikuamini muache.

Sisi tunamtangaza kwasababu fita ni fita mura, hii ni fita.

Yaani haya tuliyonayo na kwa MUNGU wetu sio mapenzi ni mahaba, in Lowasa's voice.

Tunadhihirisha Upendo wetu kwa Mungu wetu kumtangaza na kumtetea.

Tunapigana na maadui wake majeshi ya giza kwa neno la ushuhuda wetu.

It has little to do with you!

Hatuhitaji chochote cha kwenu! Infact we just feel sorry for you!
 

Dunia ipo kwenye eneo linaloitwa Habitable Zone—si ya moto kama Venus na si ya baridi sana kama Mars. Hii inaruhusu maji kuwepo katika hali ya kimiminika, ambayo ni msingi wa uhai.

Angahewa yetu ina mchanganyiko wa oksijeni na nitrojeni unaotuwezesha kupumua,

tabaka la ozone likitulinda dhidi ya mionzi hatari ya jua

Huoni hii ni miujiza dogo. Ona force of gravity. Unadhani ni vitu vya kawaida . It’s all calculated.
 
Mungu ni zaidi ya dini zinavomuelezea,

Ulimwengu hauwezi kujiumba wenyewe mkuu.

Kila nikifikiria force of gravity na namna sayari yetu ina support maisha. Basi naamini there’s almighty creator. And that’s Him
If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.

Kama ulimwengu hauwezi kuwepo wenyewe tu, basi hata huyo Mungu na yeye hawezi kuwepo mwenyewe tu.

Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na MUANZILISHI wake, Hata huyo mmuanzilishi wa kila kitu, atahitaji kuwa na muanzilishi wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo chanzo.

Na hii, ndio inaitwa infinite regress of causes.

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever.

There is no first event, no start, and no uncaused beginning.


Kusema kwamba Mungu haitaji na hana chanzo, Na hapohapo unafosi kwamba lazima ulimwengu una chanzo na unahitaji chanzo, Ni kufanya logical fallacy inaitwa Special pleading fallacy.

The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.

It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.

Kama ulimwengu hauwezi kuwepo wenyewe tu pasipo kuumbwa, hata huyo Mungu hawezi kuwepo mwenyewe tu, pasipo kuumbwa.

Wewe ukifanya exemption kwamba Mungu hana chanzo na hapohapo unafosi ulimwengu lazima una chanzo, utakuwa unafanya special pleading fallacy.
 
Dunia kuwa kwenye habitable zone kuna husiana vipi na kuwepo Mungu?

Au ni wewe tu, unataka kuhusisha habitable zone na habari za huyo Mungu.
 
Nimekuelewa vyema mkuu.

Kwa hapa tulipofikia kwangu linabaki kua swala la Imani.
 
A little about our GOD

 
Hapa umemaliza, na asielewa usiendelee nae maana hata kama atauliza swali lolote jibu lake lipo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…