Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Wewe unataka inayofanana na ya beberu?? unadhani watakubali uwe level moja na wao? ukitaka iwe hivyo hawakupi mkopo, Barabara ya rami, mwendo kasi hazitofanana na za kwao hata siku moja.Na barabara za mtumba zingekuwepo nazo zingeletwa hivyohivyo.
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Hivi umesoma ukaelewa?
Hicho kichwa sio chenu,ni cha mkandarasi kakileta ili kufanya majaribio.
 
Mbona hivi ni used? Vilitengenezwa miaka ya 1994 ni vikaja kuuzwa kama used kwa Euro 15,000. Nyie TRC mmevinunua kwa bei gani?
Maana hata sasa havitengenezwi tena na spare zake hamna!

Tunategemea mtuletee Train bora na za kisasa ili kukuza Utalii, msije kumwangusha Mama, hii dhambi haita waacha salama.

Kichwa hichi kitapelekea hitirafu kwenye mataluma na kuiacha reli ikiwa na expansion joints. Naomba warrant aongezewe mkandarasi
 
Masanja Kadogosa Na Waturuki Wanatuchezea Sana Watanzania
 
Wewe unataka inayofanana na ya beberu?? unadhani watakubali uwe level moja na wao? ukitaka iwe hivyo hawakupi mkopo, Barabara ya rami, mwendo kasi hazitofanana na za kwao hata siku moja.Na barabara za mtumba zingekuwepo nazo zingeletwa hivyohivyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
Aisee ! Ngoja tusubiri maelezo ya kina. Kama kweli basi hii ni hujuma, kuchukua kitu hakina spare!
 
Naongeza ukubwa wa maandishi ili muelewe, ujuaji unapelekea kukufanya mjinga...

Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ...
 
Guys hiki ni kichwa kwa ajili ya majaribio tu....sio kwa ajili ya Operations.
 
Reactions: Tui

Wabongo wengi huwa hawasomi maneno yote...
 
Sasa hili linatofauti gani na haya yaliyopo? Halitumii makaa ya mawe hili kweli?
 
Kwahiyo tumeamua kununua na kichwa used kabisa..daah hii nchi hii.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu hicho sio mali yetu ni mali ya mkandarasi ameleta kufanya majaribio kwenye reli aliyoijenga
 
ivi hamuoni aibuuu vichwa vya ivi !!dunia nzima havipo!! sasa tunaenda mbele au nyuma!! yaan vichwa kama vya treni ya mkoloni[emoji3]
Mkuu hicho ni cha mkandarasi kwaajili ya majaribio, chetu wenyewe bado
 
Tutakula wapi tukileta vipya tulieni ná tumenunua kwa bei ya trein mpya. Mdau kutoka PM
 
Mbona kimekuwa branded na tanzania
 
Eeeeehhh sura mbaya hivyo kweli? Hii ndio treni ya kisasa? God help us. Hii nini sasa? 😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…