GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi nimemsamehe.

Nitajitahidi kusahau pia 😊
Yaan mkuu maana yake umemsamehe ila haujasahau ili akija kufanya tena atoneshe tena upya kidonda ambacho hakijapona yaan kidonda bado kibichi?
 
hahahaha dah, inawezekana kweli utoto, ukaanza kumsagia kunguni sponsor wa harusi yako, anyway yule jamaa hana baya aende tu kigentleman atarudi barabarani.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Musiba mtu sana.siasa tu ndizo hubadirisha watu.Mungu akusimamie mzee wetu.
 
Huku kunaitwa kuchanganyikiwa.. Ila acha tu tumsamehe japo bado yuko arrogant.. Badala ya kuomba radhi direct anatumia neno "KAMA.."
 
Muungwana akiomba msamaha husamehewa. Binafsi nakusamehe umetubu.
 
Now that the cat is away the mouce plays. It takes courage, fasting and prayers to forgive and forget psychological and emotional torture sadist Musiba inflicted to the late Membe and his family. A lesson is well learned that every title in this world is transitory and temporary in its very nature.
 
HHwei
Heri yake kaomba msamaha kuliko yule pole pole
 
Mtu yeyote anayefanya makosa, halafu akayatambua makosa yake, akaomba msamaha, ni jambo jrma sana, na kwangu binafsi sioni sababu ya kutomsamehe mtu huyo alimradi msamaha anaouomba uwe ni wa dhamira ya jweli na iliyo njema.

Kwa waumini, wanajua kuwa haki yako ya kusamehewa inatokana na wewe kusamehe:

"Utusamehe makosa yetu kama na sisi tunavyowasamehe waliotukosea"

Na tena andiko jingine lasema hakuna kosa lisilpdameheka:

"Njooni kwangu ninyi mnaoelemewa na mizigo ya dhambi, nami nitawapumzisha"
 
huyu baba baba which? hana hata mtoto mshamba mmoja huyu unamwita baba! hebu mpe tusi moja huyo baba yako
 
Huyu mtu anavyoongea ni kama ana matatizo ya akili
 
Dhambi mbaya ni kung'ang'ania madaraka , uroho wa rasilimali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…