Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Kwa kusema tu "kama kuna watu amewakosea" inaonyesha hajutii aliyofanya. Baadhi ya aliowakosea walimpeleka Mahakamani na wakamshinda. Atajifanyaje leo kuwa hajui kuwa kuna watu aliwakosea? Aidha, mtu mwema hajisifu kuwa yeye ni mtu mwema. Ukiona anajisifu basi wema wake ni kuigiza.Wakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake
Wakuu,

Isomeke hivyoKumradhi ndugu wasomaji, isomeke "huyu mtu anaongea ana matatizo ya akili"
Mm ulikua unanikwaza sana kipind Cha nyuma jinsi tulivyokua unafurah watu wakiteswa,tulivyokua unafurahia Lissu kupigwa risas,ulivyokua unawaaribia watu majina na kuwananga,nilikua na chuki na ww sana ila moyo wangu umesuhusika kabsa Leo ulivyo omba radhi Kwa dhati, nmekusamehe na sitakuchukia tena,,,na mm unisamehe Kwa kukuchukia kipind chote hichoWakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake
Vipi kuhusu Mh Membe r.i.p mabilioni yake?Wakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake
Yaani wakati huo alikuwa kijana tofauti na alivyo leo? Atakayemwamini shauri lake!Wakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo ambao walichafuliwa sana na huyu baba kipindi cha mwendazake
Kwanza nimeangalia clip za nyuma ,siamin kama ni yeye nahis haya ni mano ya IA na siwez kuamin ,musiba yule aliyekua anaongea Kwa kujiinua ,musiba aliyekua na kibur na kuwatukana watu kadri awezavyo? Musiba aliyekua anafurah Tundu Lissu kupigwa risas na kusema Lissu alipigwa risas za plastiki!! Musiba yule hawez jishusha aisee hii imeeditiwa na IAYule MUSIBA aliyetamba kipindi cha utawala wa mwendazake Magufuli.
Ametoka mafichoni tangu kifo cha Magufuli ameamua kujishusha mbele ya watanzania na kuomba msamaha.
Watanzania kazi kwenu kumsamehe ndugu MUSIBA.
Mwanaharakati huru a.k.a Msema hovyo wa awamu ya 5Adai ule ulikuwa ni utoto tu unamsumbua
Sasa amekuwa na kupevuka kiakili na kifikra
Adai hata akina idd Amin walitenda mabaya wakasemehewa yeye ni nani hadi asisamehewe?
View: https://youtu.be/jLNMqtQb5_M?si=sd3pAiMuB8d5MHo1
Muongo huyu Si wa kuaminiAdai ule ulikuwa ni utoto tu unamsumbua
Sasa amekuwa na kupevuka kiakili na kifikra
Adai hata akina idd Amin walitenda mabaya wakasemehewa yeye ni nani hadi asisamehewe?
View: https://youtu.be/jLNMqtQb5_M?si=sd3pAiMuB8d5MHo1
Ameanza kuogopa wana network? HahahaAdai ule ulikuwa ni utoto tu unamsumbua
Sasa amekuwa na kupevuka kiakili na kifikra
Adai hata akina idd Amin walitenda mabaya wakasemehewa yeye ni nani hadi asisamehewe?
View: https://youtu.be/jLNMqtQb5_M?si=sd3pAiMuB8d5MHo1
Tanzanite zote alizochapisha atazichoma moto? Kwanza hana haja ya kuogopa si ana backup?Umeona ya ndugai mkuu