Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Jambo jema ni kuwa familia ya mwalimu haigusiki na yoyote.

Magu kapoteza mapema mno
 
Sasa comrade tundu Lissu kulala chumbani kwa Madaraka Nyerere inamsaidia nini babu na bibi yako walioko kijijini ?
Nyie kumlazimisha mama Nyerere na kumsumbua kuja kuongeza vichwa iliwasaidia nini?

Sasa wewe subiri uone kitendo tu cha kulaala kule kitatangazika baraaa, na kitaongeza kura nyingi mno Na Mkoa wa Mara unaenda kuwa kitovu cha ukombozi wa taifa kwa taaarifa yako, na kumbuka Mkoa wa Mara ni wabishi wakiamua kulianzisha hata utumie Jeshi hutaweza
 
Magu alijuwa wasanii wa bongo fleva ni zaidi ya people's power!
Hajuwi ata mziki wa hao bongofleva tunaweza ukataa tukabaki na reggae music
 
Mama Maria Nyerere kajibu kwa vitendo baada ya kushurutishwa aende mkutano wa CCM kuongeza vichwa kisha kulazimishwa kuongea
😂😂😂😂😂😂😂😂Huyu mama alinchekesha sana. Eti kuongeza vichwa. Unajua haya ni maneno ya kihuni huni yaani kisela. Sema yeye alivoitwa akaongeze vichwa ndivo kaambiwa hivo hivo na yeye kariport hivo hivo bila kumumunya Maneno
 
Ameenda kutubu dhambi ya kumtukana Nyerere?
 
Ni suala la muda tu, tutaiona familia ya mwalimu wakilimia meno[emoji1] [emoji1]
 
Mkuu wewe ni mtu mzima na mkongwe humu. Kumuuliza Sisi vijana nani katufikisha huku ni kutukosea adabu (samahani kama nitakukwaza) maana najua fika unawajua waliotufikisha hapa.
 

Kwani kura zinapigwa mkoa wa mara tu?? Acheni kuweweseka na usiwatie ujinga watu wa mara kwamba mtaleta fujo tutawapiga virungu kisawasawa. Lissu hatoshinda comrade hilo lipo wazi.
 
Baada ya kumrushia matusi baba wa taifa saaahv kaenda kulala uko, watu bana
 
Kwani Magu alivyotuambia Bashiru alikua anauza ndizi sokoni imemsaidia nini bibi yako kule bush?
Ni kweli Magu alisema kuwa Bashiru alikua anauza ndizi sokoni aya niambie wapi tulitaka kufanya kuuza ndizi kwa Bashiru kuwa jambo la kitaifa na kuwatangazia walimwengu? Nyie kulala tu chumbani kwa Madaraka mmeona ni bonge la jambo mnadhani kura tutapigia chumbani kwa Nyerere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…