Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Joyce
Hivi mkuu uongo unakusaidia nini lkn?

Hizi picha zilipigwa mwaka 1981 wakati wa mahafali ya Lissu kumaliza kidato cha 4.

Acheni uongo bana.

Kichwani mwako 'zinakutosha' kweli Mkuu? Mbona Wewe sasa ndiyo unaonekana ndiyo Muongo na Unatudanganya? Kaombewe 'Upumbavu' uishe.
 
Kwahiyo Madaraka Nyerere baada ya 'Kuanguka' na 'Utiaji Nia' wake ndani ya CCM sasa 'Hasira' zake kaamua kuwa karibu na CHADEMA kama hivi?
Mkuu hii familia ni muhimu sana lakini CCM ina ichukulia kama familia ya mjumbe wa nyumba kumi!
Pengine ni kwa sababu jamaa ni watu waliopo kwenye kundi la watu wenye maono!
 
Ninachowaaambia nikuwa mheshimiwa tundu lisu ndio rais wa sita mkatae msikatae magufuli hataweza kushinda hata Kwa Dawa Ccm watafanikiwa kuwa na wabunge wengi tu ila magufuli hatashinda kura Nina Uhakika atapora ushindi Lakini hatafaulu ataondoka madarakani nawahakikisheni hivyo magufuli hata shinda kura, labda ujitoe ufaham, kinachopangwa huku Mara ni umoja wa kuikomboa nchi kupitia Mkoa wa Mara, Mkoa wa Mara ndio utakao kataaa katakata kuporwa kura na ndio utakaokuwa Mkoa wa kwanza kwenye vuguvugu la kumtoa magufuli Niko tarime nawahakikisheni kinachopangwa Na wana Mara pasipo hata kushirikisha chadema ni umoja ambao haujawahi tokea tangu nizaliwe, Mara itakuwa kitovu cha mabadiliko na Jeshi litashindwa na itaambukiza Kagera, itaingia Mwanza na Geita wakuuu hakutakuwa na wizi wa kura Mkoa wa Mara, watu wameishaanza kuunganisha nguvu toka Vijijini huko wanasema hawatakubali watamshika mtu Kwa mkono na atawaeleza kura zao ziko wapi, nawahakikisheni kuwa magufuli anaondoka madarakani kitakachotokea Mara wakiiba kura na mikoa Yote itafuata tu
 
Natumaini alitumia nafasi hio kuomba msamaha kwa kejeli na dharau alizokua anazitoa kuhusu mwalimu Nyerere.

Kuna familia zina moyo wa kusamehe
Rafiki niazime hiyo miwani yako hapo kwenye avatar!
 


Oct twende na upinzani, Zanzibar maalim, Tanganyika Lissu
 
Watumishi wote wana hasira na jiwe, wanasema kura ni kwa Lissu tu.
Hadi askari
Kwani jiwe kakosea wapi?
 
Mmmh hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…