Nafikiri mwandishi hakuwa ana address umma wa watanzania..hiyo ni weekly report anaituma Kwa hadhara yake.Hivi hilo neno sumptuous magufuli anaelewa maana yake?
Yaani natamani kuona security details ambazo Lissu atawekewa ikitokea akashinda uchaguzi mkuu ujaoHivi hawezi kupiga kampeni bila mabunduki?
Mkuu hii familia ni muhimu sana lakini CCM ina ichukulia kama familia ya mjumbe wa nyumba kumi!
Pengine ni kwa sababu jamaa ni watu waliopo kwenye kundi la watu wenye maono!
Kukosa cha kupost maana yake ni nini? Acha kuweweseka comradeMkuu hili ni tangazo au umekosa cha kupost?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Siwezi kutukana mfu kisiasa hata siku mojaNdo kuweweseka huko lazima mwisho wa siku utatafuta tusi tu.
Kwaiyo?mmebaki ka kikundi Rwanda si mbali....
You mean hii nchi imejaa wanafiki?Magufuli atakapotolewa madarani tutasikia mengi sana;
1. Watu hasa wana ccm watanena walivyozuiwa kuchangana na wapinzani.
2. Wataeleza nani alimpiga Lissu risasi
3. Wataeleza jinsi walivyopewa maelekezo kuwaengua wapinzani
Kea ujumla atafananisha na IDD AMINI DADA
Tupate kusubiri tamko la CCM Kuwafuta uanachama hao waliompokea LISSUWakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada Ya kuombwa na watoto wa baba wa taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulaala kwao Mkubwa Kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Yaishi basi maneno yako comrade ili twende sawa mpaka tar 28 October mjue nani amekufa kisiasa.Siwezi kutukana mfu kisiasa hata siku moja
Sio kidogo, kwasasa wanafunga midomo sababu wananufaikaYou mean hii nchi imejaa wanafiki?
Kaka yanayopangwa na Mkoa wa Mara chini kwa chini toka Vijijini had mjini, ukiyajua Kama wewe ni msimamiz Wa Uchaguzi Mkoa huuu usije ukathibutu kuiba, Jamaaa hawa wamepanga mipango madhubuti mno wanasema wao ukipora kura zao watakubeba na kukupeleka msituni ukawaeleze umepeleka wapi kura zao hawataogopa polisi, watakuwa Kama sisimiz na wako Tiyari kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mara unakuwa ndio kitovu cha ukombozi wa nchi hawataki kuwahiwa na Mkoa mwingne wameamua kuweka history Ya ukombozi wa Mara Ya pili hutaaamini kitakachotokeaNdo kuweweseka huko lazima mwisho wa siku utatafuta tusi tu.
Haaaaa haaaaa wame edit 🔧Hizi picha ni kabla ya Uhuru 1955
Na wewe umeamini hizo porojo za kwenye vijiwe vya kahawa??Kaka yanayopangwa na Mkoa wa Mara chini kwa chini toka Vijijini had mjini, ukiyajua Kama wewe ni msimamiz Wa Uchaguzi Mkoa huuu usije ukathibutu kuiba, Jamaaa hawa wamepanga mipango madhubuti mno wanasema wao ukipora kura zao watakubeba na kukupeleka msituni ukawaeleze umepeleka wapi kura zao hawataogopa polisi, watakuwa Kama sisimiz na wako Tiyari kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mara unakuwa ndio kitovu cha ukombozi wa nchi hawataki kuwahiwa na Mkoa mwingne wameamua kuweka history Ya ukombozi wa Mara Ya pili hutaaamini kitakachotokea
Bila picha wangesema uongoWakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada Ya kuombwa na watoto wa baba wa taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulaala kwao Mkubwa Kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Fanyia kampeni kwenye nyuzi za watu, maana ukianzisha wa kwako, utadoda!Chagua CCM chagua Magufuli View attachment 1582412
Hivi hilo neno sumptuous magufuli anaelewa maana yake?
Kwahiyo Madaraka Nyerere baada ya 'Kuanguka' na 'Utiaji Nia' wake ndani ya CCM sasa 'Hasira' zake kaamua kuwa karibu na CHADEMA kama hivi?
Usije kushangaa kusikia familia ya Nyerere inachunguzwa uraia wake .Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada Ya kuombwa na watoto wa baba wa taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulaala kwao Mkubwa Kama Lissu na walijisikia kama wako na Baba yao Mzazi.,
Mmoja wa watoto hao Madaraka Nyerere amesema kuwa hawakuamini kama Lissu angewakubalia ombi lao hilo.
Kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Tundu Lissu ameandika "In Mara we'd the honour of spending the night at Mwitongo, the birthplace & resting place of Mwl. J. K. Nyerere. We're privileged to be hosted by Madaraka, one of Mwalimu's sons, his sister Neema & her husband Carlo Giero both of whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."
View attachment 1582402View attachment 1582403View attachment 1582404View attachment 1582405
Polee sana.kiburi cha mtu mmoja kinaenda kukigharimu chama chote.Haya ni matusi mengine kwa baba wa Taifa ambaye tayari Lisu alishamtukana,