Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Baba Mkwe wa Antipass ana nasaba na maeneo hayo, hivyo kulala huko sio dhambi Rtd Col. Magabe.
Watanzania tumeoleana sana kama Msigwa na Magufuli n.k
 
Hayo Kuna mtu ndio source ya hayo .

Kawapandikiza wengine wooote

Sio roho ya wapi hio sio ya kitanzania kabisa

That's ain't Tanzania culture,tradition and customs
 
Umenipa moyo sana mkuu, lazima mwaka huu ccm kiwe chama pinzani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hao waliomkaribisha pengine ni wepesi wa kusahau, huyu Tundu Lissu si ndio alimtukana baba yao hadharani kwa kudai kwamba eti mwalimu Nyerere alizoea kuoshi kwa uongo uongo!!
 
Sure there will be messy ugly and noisy.....
 
Jiwe kafura kanuna kanyong'onyea,kalegea tepetepe baada ya kusikia watoto wa mwalimu wamemuomba Lissu akalale kwao,wakati Jiwe alimforce bi mkubwa wa taifa aende pale mkendo akaongeze idadi ya vichwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio kidogo, kwasasa wanafunga midomo sababu wananufaika
Mimi pia nimewahi kuwaza hivyo..ndio maana wote Kwa SASA wako wanahangaika ili MTU wao ashinde ili wapate manufaa na upendeleo kutoka Kwa aliyeko madarakani, matatizo ya wananchi ni kisingizio tuu cha kutafuta kuungwa mkono ili wakiwa wanafaidika wawe na support ya mass.. otherwise all these episodes zinazoendelea majukwaani ni Drama au kiini macho.
 
Hao waliomkaribisha pengine ni wepesi wa kusahau, huyu Tundu Lissu si ndio alimtukana baba yao hadharani kwa kudai kwamba eti mwalimu Nyerere alizoea kuoshi kwa uongo uongo!!
we ndo msahaulifu kamati ya fitina majungu na roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…